Jeshi la wanamaji la Yemen ambalo lilikuwa katika eneo hilo, limefanikiwa kuwaokoa wahamiaji wapatao thelathini. Wizara ya ulinzi nchini Yemen imesema kuwa boti hiyo iliyokuwa ikisafirisha wahamiaji hao, ilizama katika mkoa wa Kusini wa Shab-wa, eneo ambalo hutumiwa kama kivuko na wahamiaji wa kiafrika. yafaa kuzingatia kwamba: ukosefu wa kazi,maisha magumu, na ndoto za Alinacha ndiyo sababu kuu ya watu wengi kukimbilia nchi zilizoendelea.
9 Machi 2014 - 20:30
Msimbo wa Habari: 512564
Maafisa wa serikali ya Yemen wamesema kuwa zaidi ya wahamiaji arobaini wa Kiafrika wamezama baharini baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama, katika pwani ya kusini mwa nchi hiyo.