13 Julai 2014 - 08:25
Ndege za kivita za Israel zaendelea kushambulia Gaza

Ndege za utawala ghasibu wa Israel zimeendeleza mashambulizi makali dhidi ya wananchi madhulumu wa ukanda wa Gaza

mashambulizi hayo ambayo yameua mamia ya watu na kujeruhi mengine,yameusikitisha ulimwengu na mzima, waathirika wakuu wa mashambulizi haya ni wanawake na watoto wadogo.
kwasasa Parestina inakabiliwa na tatizo la upungufu wa madawa na namna ya kuwasaidia waathirika wa vita.
Iran imesisitiza kusimamishwa mashambulizi hayo ya kidhalimu dhidi ya wananchi wanyonge wa Parestina.