24 Julai 2014 - 07:39
Idadi ya waparestina waliouawa yafikia 718

mashambulizi ya jeshi ghasibu la Israel huko Gaza yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 700

mashambulizi hayo dhidi ya wananchi madhulumu wa ukanda wa Gaza yameua watu zaidi ya 700 na zaid ya watu 4,250 kujeruhiwa na kuharibu kabisa makazi na miundo mbinu ya wananchi hao.
waathirika wakubwa wa mashambulizi haya ni wanawake na watoto.
sambamba na hayo pia imeripotiwa kuwa wanamgambo wa Hamas wameua zaidi ya wanajeshi 40 wa Israel hii inahesabiwa kuwa ni pigo kubwa kwa jeshi la Israel kwani haijawahi kutokea jeshi hilo kupoteza idadi kubwa ya wanajeshi wao katika vita vyake na Parestina.
kesho ni kutakuwa na maandamo makubwa ya kimataifa ya siku ya Quds yatayolenga kutetea haki za waparestina.