Sambamba na Siku Kumi za Karama (The Ten Days of Karama), Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa 'Waandishi wa Habari wa Ahlul-Bayt (a.s)' umefanyika leo Alhamisi asubuhi, tarehe 1 Mei, 2025), katika ukumbi wa mikutano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) Mjini Qom, kwa Ushiriki wa Wanaharakati wa Habari na Wasomi kutoka Iran na Bara la Afrika.
Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Waandishi wa Habari wa Ahlul Bayt (a.s) waanza kwa ushiriki wa wanahabari na wasomi kutoka Iran na Bara la Afrika Mjini Qom
Ayatollah Nouri Hamedani Marjii Taqlid wa Madhehebu ya Shia ametoa ujumbe wake katika Mkutano wa vyama (jumuiya) vya Kisayansi vya Seminari (Hawza) ya Qom.