11 Agosti 2024 - 19:37
Msimbo wa Habari: 1477962
Alitoka Hillah kuja Basra kwa ajili ya kuja kufanya Ziara ya Arbaeen kwa miguu ikiwa ni kwa mara yake ya kwanza huku mikono yake miwili ikiwa imekatwa na hakuambatana na mtu katika safari hiyo wa kumsaidia katika kile anachokihitajia, kama vile kunyweshwa maji na kulishwa chakula na mengine, lakini pamoja na hilo ameweza kutengeneza tukio zuri.