22 Oktoba 2024 - 17:10
Video | Maandamano ya kuunga mkono Gaza nchini Morocco yenye alama za Yahya Al-Sin'war

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Baada ya kuuawa Shahidi Mujahid Mkubwa Yahya Al-Sin'war, wimbi la uungaji mkono kwa Gaza na Palestina kwa mara nyingine tena limeenea sehemu mbalimbali za Dunia. Huko Morocco, watu wamejitokeza mitaani wakiwa na alama (mabango na picha) za Yahya Al-Sin'war na kuonyesha kuunga kwao mkono Upinzani (Muqawamah) na Hamas.