Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kwa mujibu wa ratiba ya masomo, Leo hii Siku ya Jumamosi tarehe 16 -08- 2925, mitihani ya kila wiki imefanyika katika Chuo Kikuu cha Al-Mustafa (s) Jijini Tawi la Dar -es- Salaam, Tanzania. Wanafunzi wote wameshiriki kwenye mitihani hii ambayo inalenga kutathmini maendeleo yao ya kielimu.
Mchakato huu umefanyika chini ya usimamizi makini wa walimu na uongozi wa chuo ili kuhakikisha haki, uadilifu wa kielimu na nidhamu ya kimasomo vinazingatiwa ipasavyo.
Your Comment