Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-; Nukuu kutoka katika tweet ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sayyid Ali Khamenei:
“Iran ina vyanzo vingi vya mvuto: Mafuta, gesi, madini ya thamani, pamoja na nafasi yake ya kijiografia. [Marekani] inataka kuitwaa nchi hii, kama ilivyofanya hapo awali.”
Kauli hiyo ilitolewa na Imam Khamenei katika mkutano na makundi mbalimbali ya wananchi, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
1 Februari 2026 - 23:12
News ID: 1777023
Imam Khamenei amesema Iran inalengwa na Marekani kutokana na utajiri wake wa asili na nafasi yake ya kijiografia, akibainisha kuwa mafuta, gesi na madini ya thamani ni miongoni mwa vivutio vinavyoifanya Iran kuwa shabaha ya tamaa ya kibeberu. Kauli hiyo aliitoa wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Your Comment