Mswada wa nyongeza za posho za wabunge umezidi kutikisa Tanzania baada ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Steven Munga, kuitaka serikali iache mpango wa kuongeza posho za wabunge,na badala yake fedha hizo zielekezwe katika maendeleo ya jamii.Kauli hiyo ya Askofu Munga inakuja kipindi ambacho mswada huo umeshika kasi baada ya kauli ya Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye kutaka kusitishwa kwa nyongeza hiyo, kauli ambayo ilijibiwa na Naibu Spika wa Bunge hilo Job Ndugai aliposema kuwa: waziri mkuu huyo mstaafu hana usafi wa kukosoa posho hizo.
19 Machi 2011 - 20:30
Msimbo wa Habari: 289789
Mswada wa nyongeza za posho za wabunge umezidi kutikisa Tanzania baada ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Steven Munga, kuitaka serikali iache mpango wa kuongeza posho za wabunge,na badala yake fedha hizo zielekezwe katika maendeleo ya jamii.