19 Machi 2011 - 20:30

Kushiriki watu kwa wingi katika swala ya Ijumaa Tehran iloongozwa na Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.

Ripoti shirika la habari la Ahlul bayt(as)-ABNA- imeeleza kuwa watu waloshiriki katika swala ya Ijumaa Tehran ilikuwa haina kifani kwani Wananchi walionyesha jinsi gani wanaipenda Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran na Viongozi wake wote.