19 Machi 2011 - 20:30

Mtandao wa Al niil yatangaza kuwa hukumu ya Raisi wa zamani wa Misri Husni Mubaraka hutolewa kesho.

Hukumu ya mubaraka Raisi wa zamani wa Misri na watuhumiwa wengine wa mauaji ya waandamanaji katika mapinduzi ya nchi hiyo wahukumiwa kesho. Mahakama ya makosa ya jinai ya mjini Cairo, katika kikao kilichofanyika siku ya Al Hamisi walisikiliza madai ya wakili wa msaidizi wa waziri mkuu wa zamani, wakili huyo aliiyomba mahakama kufutiwa kesi  mtuhumiwa huyo.Baada ya kusikiliza maelezo ya wakili huyo, Mahakama imeazimia kutoa hukumu yake kesho siku ya jumamosi.