19 Machi 2011 - 20:30

Habib Kadhim Mula Mkazi wa Bahrain leo asubuhi katika sehemu ya Sahlah karibu na Mji Mkuu wa Bahrain Manamah alifariki kwa athari ya Gesi ya Sumu.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Kuendelea kukandamiza waandamanaji na kuafanyika vitendo vya kinyama mnamo tarehe 29 February 2012 aliuawa Mwananchi mwengine kwa athari ya Gesi ya Sumu na kuongeza idadi ya Mashahidi kufikia 72.

Vitendo hinvyo vya tendwa na Majeshi ya Saudia Arabia kushirikiana na Jeshe la Bahrain kukata mizizi yote ya muamko wa Kiislamu na kuhami Kambi kuu ya Jeshi la Marekani Mahsriki ya kati.

Vimbo vya habari vinaeleza kuwa; Habib Kadhim Mula leo asubuhi katika sehemu ya Sahlah karibu na Mji Mkuu wa Bahrain Manamah alifariki kwa athari ya Gesi ya Sumu.

Kutokana na habari hii vikosi vya usalama vya Bahrain vilivamia Nyumba ya Habib Kadhim Mula kwa kutoa kwake habari hiyo.

Kifo na shahada ya Habib Kadhim Mula imeongeza idada ya shahidi kufikia 72.