19 Julai 2012 - 19:30

Kutokea ajali ya meli (18.07.2012) iliokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Katika tukio hili kubwa katika eneo la Afrika Mashariki Waaandishia wa habari waeleza kuwa Muda mfupi baada ya kutoka katika eneo la ajali mahala ambapo shughuli za uokozi zinaendelea.