Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Katika kusambaratisha Kundi la Kigaidi Nchini Iran huku wakishirikiana na Shirika la kijasusi MOSAD, Filamu yenye Dakika 40 ilotolea na Shirika la Waandishi wa habari na Filamu hiyo ilionyeshwa katika Ukunbi wa Shirika la habari la Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran, na Filamu hiyo ilipokewa na kutazamwa na wataalamu wa Jumuiya ya NAM.
Katika filamu hiyo ilionnyeshwa njia za kuuawa Wataalamu Nyuklia ya Iran kuonyesha kukiri kwao makosa walofanya na kueleza kuwa wao walikua ni Vibaraka wa MOSAD.
Jose Rodolfo Luisaga Balozi wa Bolivia Iran katika Mkutano huo wa Jumuiya ya NAM na kushuhudia filamu ya Terror alisema: Kuuwa Wataalamu wa Nyuklia wa Iran ni jambo tumelilaani na kulipinga vikali, tunatumai kuwa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran itakuwa sasa juu kisiasa.
Akiendelea kusema Balozi huyo Bolivia: Filamu hii nitaipeleka Bolivia kuonyesha Wananchi.
Aidha alisema: Waziri wa Mambo ya nje wa Bolivia atawasili Usiku wa leo.
Jose Rodolfo Luisaga pia aliripoti kuwa karibuni atawasili Rais wa Bolivia Ow Moralis ili kuendeleza uhusiano wajuu.