14 Oktoba 2012 - 20:30

Baada kuowa mke wa pili mfalme wa Qatar Hamad Ibn Khalifa, mke wake Moza Shekha aomba talaka.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Ripoti zaeleza kuwa; Baada ya kuowa mfalme wa Qatar Hamad Ibn Khalifa Binti mwenye umri wa miaka 17, mke wake Moza Shekha aliomba Bilioni 7 dola $ ,ambayo ni bajeti kuanzisha kituo cha kulea Watoto, yote hayo akusudia kuacha nyumba  mfalme wa Qatar na kutaka talaka yake kwa mfalme huyo.

Habari zaeleza kwamba Moza kaishaelekea California Marekani na baadhi ya watu na atakapopewa Pesa hizo aanzishe Taasisi ya Malezi ya Watoto, hilo la sababisha mfalme wa Qatar kumtaliki mke huyo wa pili.

Gazeti la Ad-Diyar la Lebanon limeandika: Baadhi ya wafalme wa eneo la Persian Gulf waitakidi kuwa Moza atarudi Qatar na yeye alikubali Ndoa ya mfalme wa Qatar na Binti mwenye umri wa miaka 17, ila Moza hakukubali kamwe wazo hilo na jibu lake lilikuwa ni; Lazima Nyumba ya mfalme iwe na mke mmoja tu.

La abaju ni kwamba baadhi ya wafalme wafalme wa eneo la Persian Gulf wataka wa wanzuoni wa Dini kutoa fatwa ili kumridhisha Moza arudi Nyumbani.