Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Sheikh Abdulaziz Ibn Abdullah Ali Sheikh Mufti Mkuu na rais wa shura ya Maulamaa Saudia Arabia, mnamo siku ya Ijumaa alitowa fatwa kwa kusema: Ni haramu kuongea Wananchi wa Saudia Arabia na Televisheni za Satellite kunako mambo ya ndani ya nchi, aidha kuongea ni khiyana na jinai.
Alitowa fatwa hiyo katika hotuba yake Ijumaa katika Masdij Turki Ibn Abdullah Riyadh, kieleza kua kuongea na Televisheni za Satellite kwa njia yoyote ile ni haramu kwani kufanya hivyo ni kutowa siri za nchi, akisisitiza kua: Hizi Televisheni hazina lengo lolote lile muhimu bali ni kuzagaza fitina baina ya Wananchi, na lengo lao ni kuleta mtafaruku baina yao.
Ama kuhusu Wananchi wanaopinga utawala wa Saudia alisema: Wananchi wa Saudia ni lazima wataarifu Serikali kwa watu wanaopinga Serikali na wanaongea na Televisheni za Satellite kunako mambo ya ndani ya nchi, hii ni khiyana na kusaidia maadui wa nchi ya Saudia. Satellite ni haramu
Mufti Mkuu wa Saudia Arabia alisema ni haramu kuongea Wananchi wa Saudia Arabia na Televisheni za Satellite kunako mambo ya ndani ya nchi, aidha kuongea ni khiyana na jinai.
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Sheikh Abdulaziz Ibn Abdullah Ali Sheikh Mufti Mkuu na rais wa shura ya Maulamaa Saudia Arabia, mnamo siku ya Ijumaa alitowa fatwa kwa kusema: Ni haramu kuongea Wananchi wa Saudia Arabia na Televisheni za Satellite kunako mambo ya ndani ya nchi, aidha kuongea ni khiyana na jinai.
Alitowa fatwa hiyo katika hotuba yake Ijumaa katika Masdij Turki Ibn Abdullah Riyadh, kieleza kua kuongea na Televisheni za Satellite kwa njia yoyote ile ni haramu kwani kufanya hivyo ni kutowa siri za nchi, akisisitiza kua: Hizi Televisheni hazina lengo lolote lile muhimu bali ni kuzagaza fitina baina ya Wananchi, na lengo lao ni kuleta mtafaruku baina yao.
Ama kuhusu Wananchi wanaopinga utawala wa Saudia alisema: Wananchi wa Saudia ni lazima wataarifu Serikali kwa watu wanaopinga Serikali na wanaongea na Televisheni za Satellite kunako mambo ya ndani ya nchi, hii ni khiyana na kusaidia maadui wa nchi ya Saudia.