Shirika la Habari la Ahlul Bayt(a.s) –ABNA: Ahmad Majdiy Husain Mkuu wa chama caha wafanya kazi nchini Misri ametangaza kuwa nchi za Saudi Arabia, Kuwaiti na Emirate zapanga Fitna dhidi ya mapinduzi ya Misri chini ya mwamvuli wa Marekani. Gazeti la(Al Ayam) chapa ya mjini Cairo siku ya leo laandika: mkuu wa kikundi cha wafanyakazi nchini Misri kuwa: nchi hizo kwa kushirikiana na vigogo wa ndani ya Misri wanampango mbaya sana wanaopanga kuangamiza mapinduzi ya Misri.Kwamujibu wa Ahmad Majdiy: Ahmad Shafiq waziri mkuu wa zamani ambaye ni mgombea alieshindwa katika uchaguzi kiti cha urais uliopita nchini Misri, nimiungoni mwa waandaaji na watengenezaji wa fitna hiyo.Mwisho alisisitiza na kualiashiria kunako katiba mpya ya Misri nakusema kuwa katiba hiyo inaendana na maamrisho ya kiislamu na kuwateteze watu wanaoishi katika hali ya chini.
17 Desemba 2012 - 20:30
Msimbo wa Habari: 373427
Mkuu wa chama caha wafanya kazi nchini Misri ametangaza kuwa nchi ya Saudi Arabia,Kuwaiti na Emirate zapanga Fitna dhidi ya mapinduzi ya Misri chini ya mwamvuli wa Marekani