9 Februari 2013 - 20:30

Mmoja kati ya wakazi wa Mak`kah kwa kutoweza kutowa kodi ya nyumba awajibika kulala yeye na Watoto wake wa 3 ndani ya Gari.

Ripoti ya shirika la habari Ahlul Bayt(as)-ABNA- Mmoja kati ya wakazi wa Mak`kah kwa kutoweza kutowa kodi ya nyumba awajibika kulala yeye na Watoto wake wa 3 ndani ya Gari.

Mmiliki wa nyumba hiyo aliwatowa nje familia hiyo kutokana kutolipa kodi ya nyumba, Baba wa familia hiyo hana kazi na adaiwa dola alfu 27.

Gazeti la Saudia “Akadh” katika chapa yake ya siku ya Ijumaa ilinakili mkazi huyo wa Saudia Arabia ambae ni Ibrahim Sulamani, Likiandika: Kutokana na matatizo yalonipata Mke wangu tuliachana nami na kulazimika kuishi na Watoto wa 3 ndani ya Gari, Gari hiyo nimeipaki katika sehemu ya kupaki magari ya watu ili kukidhi mahitaji ya haja ndogo na kubwa.

Kwa yote yanayotokea Saudia Arabia, Suadia mwaka wa 2012 uzalishaji wa Petroli umezikua juu maradufu kuzidi miliard 330 Dola na kila siku Saudia yauza Pipa moja la Petroli Dola alfu 10 ambayo ni thamani ya kila watu 2 wa nchi ya Saudia Arabia.

Kwa mantiki hii kulingana na kuingia zaidi ya dola 100 katika kila Pipa, Kila Msaudia Arabia kwa siku ana Dola 50 katika kila sehemu wauzayo Petroli.