akielezea nafasi ya jeshi la Iran katika ulinzi wa ghuba ya Uajemi na kusimamia amani katika mashariki ya kati kwa ujumla Brigedia Fadawi alisema kuwa: Adui wa Iran kwa sasa yupo katika mashaka makubwa na migogoro y akiuchumi pia nguvu za kijeshi za Iran zimekuwa maradufu ukilinganisha na kipindi kilichopita.pia ailiashiria kuwa Iran inapigania na itaendelea kupigania haki zake kwa nguvu zote na wala haitasita katika kufanya shughuli za kimaendeleo.
mashariki yakati
Kitendo cha kufyatua risasi katika Ghuba ya uajemi kitapelekea kusambaratika Marekani
3 Machi 2013 - 20:30
Msimbo wa Habari: 396596
Kamanda wa jeshi la wanamaji la Jamhuri ya kiislamu ya Iran ameashiria kuwa kitendo chochote cha uchokozi kitakachofanywa na jeshi la Marekani majibu yake yatapelekea kusambaratika taifa hilo.