



















Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Baada ya muhula ulotolewa na jeshi la Misri kuisha, jeshi lilielekea kwenye kila eneo walokusanyika wafuasi wa Muhammad Mursi na kusambaratisha wote katika maeneo, kwa uvamizi huo mamia ya watu wameuwawa na maelfu kujeruhiwa vibaya.



















