13 Septemba 2013 - 19:30
Kuchinja wafuasi wa rais Bashar Al-Asad /picha +18

Tovuti moja ya Uingereza hapa karibuni ilisambaza picha za magaidi wa Syria wanavyochinja wafuasi wa rais wa Syria Bashar Al-Asad kinyama huku wa Watoto wadogo wakishudia vitendo hivyo.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Tovuti ya Daily Mail ya Ungereza ilisambaza picha za vitendo vya magaidi wa Syria kuonyesha unyama wao dhidi ya wafuasi wa rais wa Syria Bashar Al-Asad likiandika: Watu hawa wachinja mtu kama wanyama mbele ya macho ya Watoto wadogo, Je na sisi lazima tuwe pamoja na mauaji haya ya kinyama?!

Tovuti hii ya habari aliandika: Kuchinjwa watu kinyama na magaidi Al-Qaida wa Syria ni kuonyesha ndani ya Syria kunatendeka vitendo dhidi ya haki za binadamu, baada ya kushikwa wafuasi wa rais wa Syria Bashar Al-Asad na kuletwa mbele ya watu na kufungwa mikono na miguu yao na kuanza kuchinjwa na kukatwa vichwa vyao kama wanyama.

Hali hii yaonyeshe vita Syria kuna watu wapigana ndani ya nchi hiyo wakiwa na nyoyo za kinyama kutenda vitendo hivyo mbele hata ya Watoto wadogo.

Lengo la magaidi hao wa Syria si kutaka kupindua serikali ya Syria, lengo lao ni kutaka kuleta mtafaruku baina ya Wananchi wa Syria.

Shirika la habari ABNA laomba samahani kwa kusambaza picha hizi, ila usambazaji wa picha hizi ni kuonyesha ni watu gani yabidi kukabiliana nao na kuweka wazi suala hili kwa watu.