wahamiaji hao ambao wengi wao wana asili ya Afrika wamepoteza maisha baada ya meli walokuwa wamepanda kushika moto na hatimaye kuzama katika kisiwa cha Lampedusa kilichopo baina ya Tunisia na Sicily.ni muhimu kuashiria kuwa wahamiaji wengi wakiafrika wamekuwa wakikumbana na matatizo chungu mzima hasa nanapojaribu kutumia njia za kificho kuelekea nchi za Ulaya kwa minajili ya kutafuta maisha.
2 Oktoba 2013 - 20:30
Msimbo wa Habari: 469232
watu wasio pungua themanini wanaosadikiwa kuwa ni wahamiaji wamepoteza maisha wakijaribu kuelekea ulaya.