Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Rihanna mwanamuziki mashuhuri wa Marekani yeye kila siku vitendo vyake kusababisha watu kujiuliza maswali mengi katika fani ya muziki, kitendo cha kupiga picha Msikitini kwa kila aina ya pozi za kuvutia watu ili sababisha Waislamu kupinga vikali kitendo hicho, pamoja na kupingwa na watu wengi kitendo hicho hakujali alisambaza picha alopiga internrt.
Baada ya kusambaza picha hizo uongozi wa Masjid ulieleza kuwa Rihanna na wenzie hakupeza ruhusa ya kupiga picha.
Katika ujumbe wa kupinga vikali wapigaji wa picha katika Masjid hiyo ulieleza kuwa; upigaji picha ambazo husababisha kuamsha hisia za watu na kuonyesha dhahiri ya picha kuwa ni kudhalilisha Masjid lazima mpiga picha atolewe nje haraka iwezekanavyo.
Rihanna katika safari yakeya Emirat sehemu ya kwanza kutembelea ilikuwa ni Masjid Sheikh Zayed.
Kusambaza picha hizo hata wapenzi wa Rihanna walipinga kitendo hicho na wengine kuomba msamaha kwa kitendo hicho, mmoja katika wapenzi wake alisema: Kupiga picha Masjid na Nguo kama hizo ni kudhlilisha Masjid si dhani kama kuna Mkristo aruhusu watu kuingia Kanisani bilaNguo(uchi)!! Kitendo chaRihanna ni kudhalilisha Masjid.






