Hizbollah imeeleza kuwa shambulio hilo la kigaidi limefanywa na utawala ghasibu wa Israel.utawala wa Israel ulisha jaribu majaribio kadha ya kumuua kamanda huyu yalikihayakufanikiwa.Hassan Laqiis ameuawa nje ya nyumbani kwake usiku wa jana alipofika nyumbani baada ya kutoka kazini huko Beirut Lebanon. yafaa kuashiria kwamba: Hassan Laqiis alikuwa ni moja kati ya makanda walioongoza vita vya siku 33 kati ya Hizbollah na utawala ghasibu wa Israel, vita ambavyo vilisababisha hasara kubwa kwa utawala wa Israel na hatimaye Israel kunyoosha mikono na kukubali kushindwa vita hivyo.
3 Desemba 2013 - 20:30
Msimbo wa Habari: 485993
kikosi cha wanamapambano wa Hizbollah kimethibitisha kuuawa kwa kamanda mmoja wa ngazi ya juu wa kikosi hicho.