12 Agosti 2014 - 13:53
Urusi yatoa msaada kwa Ukraine

Urusi imetuma takriban malori 300 ya misaada ya kibinadamu kwa Ukraine

Urusi imetuma takriban malori 300 ya misaada ya kibinadamu kwa Ukraine. serikali ta Moscow imeagiza misaada hiyo chini ya usimamizi wa shirika la kimataifa la msalaba mwekundu. yafaa kuashiria kuwa nchi Ulaya na Marekani zinaituhumu urusi kwa kosa la kuingilia mambo ya ndani ya Ukrain.