Umoja wa mataifa umetuma maelfu ya askari walinda amani huko Syria katika eneo la Golan.
Hatua hii imefuata baada ya kikosi cha waasi wa Syria wa kikundi cha Nusra kuteka askari wa umoja wa mataifa wapatao arobain na watano.
Kikundi cha Nusra ni tawi la kundi la Al-Qaeda ambacho kwa sasa kinasadikiwa kushihiria eneo hilo la Golan linalotenganisha Syria na Israel.
Taarifa zinaeleza kikundi hichi kumekisha waachia huru askari hao arobain na watano wa umoja wa mataifa
16 Septemba 2014 - 05:28
Msimbo wa Habari: 638048
Umoja wa mataifa umetuma maelfu ya askari walinda amani huko Syria katika eneo la Golan.