Kikosi cha watu wenye silaha wamevamia chuo cha ualimu na kuua watu huko Nigeria.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa watu hao walivamia na kushambulia kwa risasi na mabomu ya mkononi na kusababisha vifo vya watu kumi na saba.
Sehemu mbalimbali za Nigeria zimekuwa zilishambuliwa mashambulizi ya ghafla mara kwa mara, hali inayosabibisha amani kuwa adimu katika nchi hii.
17 Septemba 2014 - 20:32
Msimbo wa Habari: 638432
Kikosi cha watu wenye silaha wamevamia chuo cha ualimu na kuua watu huko Nigeria.