3 Aprili 2015 - 18:09
UNESCO yakemea vikali mauaji ya kigaidi katika chuokikuu nchini Kenya

New York kutokana na tukio la kigaidi liliofanyika katika chuokikuu nchini Kenya iliopelekea idadikubwa ya waliofaliki kupoteza maisha, mkuu wa jumuia ya mafunzo duniani amekemea vikali mauaji ya kigaidi yaliofanyika katika moja ya viuovikuu nchini Kenya

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: msimamizi mkuu wa jumuiya ya mafunzo duniani katika ujumbe wake, amekemea vikali kitendo hicho, huku akibainisha kusikitishwa kwake na tukio hilo kufanywa katika mazingira ya chuo nchini humo.
Naye katika ujumbe huo amebainisha kuwa mashambulizi hayo yakinyama katika chuokikuu hicho nimpango uliokuwa umepangwa tuka muda mrefu, akisisitiza kuwa malengo yao nikukwamisha mustakabali wa maendeleo ya taifa hilo kwakusitisha harakati za kielimu nchini humo, nakuzotesha maendeleo ya vijana.
Kiongozi huyo wa jumuia hiyo ya kimataifa alimaliza kwakutoa lambilambi kwa familia za wanafunzi wote waliopoteza maisha, viongozi wa chuo hicho kutokana na mauaji hayo ya kinyama, kasha kuitaka serikali ya Kenya kusemama kidete kuakikisha waliofanya kitendo hicho cha kinyama wanakamatwa nakupewa adhabu kali ili kukomesha vitendo hivyo katika mazingira ya mafunzo.