28 Machi 2019 - 13:39
Mahathir Muhammad: hakuna magaidi hatari zaidi ya waisrael

Waziri mkuu wa Malaysia alipokuwa akitoa kauli yake ya kukemea mashambulizi yaliofanywa na majeshi ya waisrael hivi karibuni katika ukanda wa Gaza amesema kuwa hakuna magaidi hatari zaidi kuliko utawala wa Kizayuni.

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na waziri mkuu wa Malaysia “Mahathir Muhammad” alipokuwa anakemea mashambulio yaliofanywa na majeshi ya utawala haramu wa Israel katika ukanda wa Gazam huku akisisitiza kuwa ukilinganisha na magaidi wote Israel ugaidi wao ni mbaya zaidi.
Kwa mujibu wa ripoti hii Mahathir Muhammad amebainisha kuwa mwenendo wa Waisrael ni kama magaidi wengine pamoja yakuwa waisrael ni magaidi zaidi, huku akiwakanya kuacha kuendeleza kufanya mashabulizi katika ukanda wa Gaza, kwani ukatili na mauaji hayawezi kutatua matatizo yaliopo.
mwisho/290