-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl al-Bayt (A.S) akutana na Msimamizi wa Atabat Hosseini | Tangazo la utayari wa kushirikiana kiutamaduni
Ayatollah "Reza Ramezani" alikutana na Hojjat al-Islam na Waislamu Sheikh "Abdul Mahdi Karbalai".
-
Canada na Ulaya zaja juu kuhusu vita vipya vya ushuru vya Trump
Katika hotuba yake Alkhamisi jioni, Waziri Mkuu wa Canada alitangaza kumalizika fungate na uhusiano wa kina wa nchi yake na Marekani. Umoja wa Ulaya nao umesema utachukua hatua za kivitendo kukabiliana na vita hivyo vya ushuru vya Trump.
-
Vikosi vya Yemen vyatungua ndege isiyo na rubani ya Marekani MQ-9
Jeshi la Yemen limeitungua ndege isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani wakati ilipokuwa inafanya mashambulizi ya kiuadui katika anga ya mkoa wa Hodeidah. Hiyo ni droni ya 17 kutunguliwa na Jeshi la Yemen kama sehemu ya vita vitakatifu vya Jihad vya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza.
-
UN: Mashambulizi ya Israel dhidi ya magari ya wagonjwa ni jinai ya kivita
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu amesema kuwa hatua ya Israel ya kufyatulia risasi magari ya wagonjwa huo Ghaza inaweza kuwa jinai ya kivita.
-
Mashambulizi mapya ya anga ya Marekani yalenga maeneo kadhaa Kaskazini mwa Yemen
Marekani imeendeleza mashambulizi dhidi ya Yemen kwa kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi ya anga katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo ya Kiarabu, yakilenga maeneo ya raia na baadhi ya maeneo ya kijeshi.
-
Watu watatu wauawa, akiwemo afisa wa Hamas, katika shambulio la Israel kusini mwa Lebanon
Angalau watu watatu, akiwemo afisa mwandamizi wa harakati ya Hamas, wameuawa katika shambulio la anga la Israel lililolenga nyumba moja kusini mwa Lebanon, katika ukiukaji wa wazi wa makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
SEPAH: Muqawama utakomesha uwepo mchafu wa utawala wa Kizayuni
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la nchini Iran SEPAH limetoa taarifa na kutangaza kuwa: "Kambi ya Muqawama hususan wanamapambano shupavu na mashujaa wa Palestina hatimaye itamaliza na kuyakatisha maisha ya aibu ya wavamizi wa Palestina."
-
Iran yalaani mashambulizi la Israel dhidi ya miundombinu ya raia na ulinzi ya Syria
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje amelaani vikali hujuma ya kijeshi ya anga na ardhini ya utawala wa wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na uharibifu wa vituo vya utafiti vya kiraia na kisayansi, pamoja na mlolongo wa miundombinu ya ulinzi ya nchi hiyo katika majimbo ya Damascus, Hama, Homs na Daraa.
-
Rais Pezeshkian: Iran haiko vitani na nchi yoyote
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia na kusisitiza kwa kusema: "Nina imani kwamba kama nchi za Kiislamu zitafanya kazi kwa pamoja, zinaweza kuleta usalama na ustawi bora katika eneo hili."
-
Iran yalalamikia vikali azimio la Baraza la Haki za Binadamu la UN
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Geneva amekosoa vikali kupitishwa kwa azimio la kupinga Iran katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, akilitaja kuwa ni kitendo cha kibaguzi na kinachopunguza itibari wa baraza hilo.
-
Pezeshkian: Ikiwa Waislamu wataungana, maadui hawawezi kuyadhulumu mataifa ya Kiislamu
Rais wa Iran amesema kuwa ikiwa Waislamu watakuwa na umoja na mshikamano, maadui hawatakuwa na uwezo wa kuyadhulumu mataifa ya Kiislamu.
-
Kuwa tayari Iran kuimarisha ushirikiano na nchi za eneo
Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na wakuu wa baadhi ya nchi za eneo na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na ushirikiano na nchi hizo katika nyanja mbalimbali kwa mujibu wa imani na itikadi za Kiislamu.
-
Abu Turabi Fard: Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa la Palestina
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa adhimu la Palestina na kusimama imara kukabiliana na Uistikbari na mamluki wake yaani utawala wa niaba wa Wazayuni katika eneo hili.
-
Kuuawa Shahidi na Kujeruhiwa kwa Wapalestina 373 ndani ya masaa 24
Wizara ya Afya ya Gaza imetangaza kuuawa Shahidi na kujeruhiwa Wapalestina 373 katika muda wa saa 24 zilizopita na kuongezeka kwa idadi ya Mashahidi wa mauaji ya kimbari na kufikia zaidi ya watu 50,600.
-
Kushindwa kwa Marekani katika kukabiliana na Yemen na gharama inaweza kuzidi Dola Bilioni moja + Video
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Maafisa wa Pentagon wamekiri kwamba uadui na uchokozi wa Marekani dhidi ya Yemen umeishia kupata "mafanikio machache" tu katika kupunguza safu kubwa ya silaha za vikosi vya kijeshi vya Yemeni, ambapo silaha nyingi ziko chini ya ardhi na kwenye jiografia ya ardhi yenye milima.
۰۰:۵۲ -
Habari Pichani | Sala ya Eid al-Fitr katika Husseiniyyah ya Imam Ridha (a.s) Arusha
Sherika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Waislamu , wapenzi na wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s), walisimamisha (walitekeleza) Sala ya Eid al-Fitr katika Haussiniyyah ya Imam Ridha (a.s), iliyopo Jijini Arusha - Tanzania.
-
Habari Pichani | Waumini, Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) Jijini Arusha-Tanzania, wakisalimiana na kujumuika katika picha ya pamoja
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Waumini, Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) Jijini Arusha-Tanzania, walikutana na kusalimiana na kujumuika katika picha ya pamoja, na kufurahi kwa pamoja katika mshikamano wa Kiislamu sambamba na sherehe za kusherehekea Siku Kuu ya Eid - Al-Fitr.
-
Kielezo cha Maandishi cha Hotuba ya Kiongozi wa Mapinduzi katika Khutba zake mbili za Sala ya Eid al-Fitr
Kiongozi Muadhamu alieleza msimamo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na vitisho vya maadui katika Khutba za Sala ya Eid al-Fitr.
-
Zaidi ya Mashahidi 30 katika jinai mpya ya Israeli katika shambulio la Shule Mashariki mwa Gaza + Video
Idadi ya wahanga wa shule hiyo iliyoshambuliwa kwa bomu katika Kitongoji cha al-Tuffah Mashariki mwa Gaza hadi sasa imefikia zaidi ya Mashahidi 30 na idadi ya waliojeruhiwa imefikia 100.
-
Habari Pichani + Mjukuu wa Mwalimu Nyerere katika Semina ya Quds asisitiza kwamba Palestina lazima iwe huru na ni wajibu wetu kusimama na Palestina
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mjukuu wa Mwalimu Nyerere katika Semina ya Quds asisitiza kwamba Palestina lazima iwe huru na sisi wote ni wajibu wetu kusimama pamoja na Wapalestina na kutetea Haki za Wapalestina na Wanadamu wote wanodhulumiwa na kukandamizwa Ulimwenguni.Haiwezekani kuwepo na amani pasina haki, Wapalestina wapate haki
-
Habari Pichani | Mawahhabi nchini Tanzania wafuata mkumbo wa Mwezi wa Saudia wasikitikiwa kulishwa hadharani mchana wa Mwezi wa Ramadhani - 1446H
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mawahhabi nchini Tanzania wafuata mkumbo wa Mwezi wa Saudia wasikitikiwa kulishwa hadharani mchana wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani - 1446H. Ni baada ya kubainika kuwa saudia Arabia walikosea tarehe 30 Machi, 2025(Siku ya Jumapili) haikuwa siku sahihi ya Eid al-Fitr kwa sababu Mwezi haukuandama, na siku sahihi ya Eid Al-Fitr ilikuwa ni tarehe 31 Machi, 2025 (Siku ya Jumatatu). Waislamu wote nchini Tanzania walisherehekea Siku ya Eid Fitr siku ya Jumatatu (31 Machi, 2015) ispokuwa wafuata Mwezi wa Saudia, na matokeo ya kufuata Saudia ni hayo ya kulishwa hadharani mchana wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.