17 Desemba 2025 - 19:15
Msikiti wa Haram ya Imam Reza (a.s) - Mashhad, Iran, Unashikilia Rekodi ya Dunia kwa kuwa na Eneo Kubwa Zaidi Kuliko Misikiti Yote Duniani

Misikiti 10 Yenye Maeneo Makubwa Zaidi Duniani (Tanbihi: Ukubwa unakusudiwa ni Eneo zima la Msikiti - Sio Uwezo wa Idadi ya Waumini wanaingia ndani yake, kwa kutizama uwezo Msikiti wa Kwanza uwezo inakuwa ni Masjid Al-Haram, ndio unaongoza kwa kubeba watu wengi zaidi kuliko Misikiti mingine, kwa Mantiki Masjid Imam Reza a.s inakuwa ya Tatu Duniani kwa kutizama uwezo na Ukubwa wa eneo, lakini inakuwa ya kwanza Duniani kwa kutizama Ukubwa wa eneo tu).

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Misikiti ni alama muhimu za ibada, historia na ustaarabu wa Kiislamu. Baadhi ya misikiti duniani imejengwa katika maeneo makubwa sana ili kuhudumia idadi kubwa ya waumini, hasa katika nyakati za ibada maalumu kama Hijja na Ramadhani. Ifuatayo ni orodha ya misikiti 10 yenye maeneo makubwa zaidi duniani:

Msikiti wa Haram ya Imam Reza (a.s) - Mashhad, Iran, Unashikilia Rekodi ya Dunia kwa kuwa na Eneo Kubwa Zaidi Kuliko Misikiti Yote Duniani

1. Msikiti Mkuu wa Al-Haram – Makkah, Saudi Arabia

  • 1_Uwezo: Takribani waumini milioni 2–4 wakati wa Hijja
  • 2_Ukubwa: Zaidi ya m² 356,000
  • 3_Ndiyo msikiti mtukufu zaidi katika Uislamu na unaizunguka Al-Kaaba.

2. Msikiti wa Mtume (An-Nabawi) – Madinah, Saudi Arabia

  • 1_Uwezo: Takribani waumini milioni 1–1.5
  • 2_Ukubwa: Karibu m² 400,000
  • 3_Una kaburi la Mtume Muhammad (SAW).

3. Msikiti Mkuu wa Algiers – Algiers, Algeria

  • 1_Uwezo: Takribani waumini 120,000
  • 2_Ukubwa: Karibu m² 270,000
  • 3_Ndiyo msikiti mkubwa zaidi barani Afrika.

4. Msikiti wa Faisal – Islamabad, Pakistan

  • 1_Uwezo: Takribani waumini 100,000
  • 2_Ukubwa: Karibu m² 130,000
  • 3_Unajulikana kwa usanifu wake wa kipekee usio na kuba.

5. Msikiti wa Hassan II – Casablanca, Morocco

  • 1_Uwezo: Takribani waumini 105,000 (ndani na nje)
  • 2_Ukubwa: Takribani m² 90,000
  • 3_Una mnara mrefu zaidi wa msikiti duniani.

6. Msikiti wa Badshahi – Lahore, Pakistan

  • 1_Uwezo: Takribani waumini 100,000
  • 2_Ukubwa: Karibu m² 75,000
  • 3_Ni kati ya misikiti ya kihistoria yenye fahari kubwa.

7. Msikiti wa Istiqlal – Jakarta, Indonesia

  • 1_Uwezo: Takribani waumini 120,000
  • 2_Ukubwa: Karibu m² 120,000
  • 3_Ndiyo msikiti mkubwa zaidi Asia ya Kusini Mashariki.

8. Msikiti Mkuu wa Sheikh Zayed – Abu Dhabi, UAE

  • 1_Uwezo: Takribani waumini 40,000
  • 2_Ukubwa: Karibu m² 290,000
  • 3_Unajulikana kwa uzuri wa usanifu na mapambo ya kisasa.

9. Msikiti wa Jama Masjid – Delhi, India

  • 1_Uwezo: Takribani waumini 25,000–30,000
  • 2_Ukubwa: Karibu m² 30,000
  • 3_Ni miongoni mwa misikiti mikubwa na ya kihistoria India.

10. Msikiti wa Haram ya Imam Reza (a.s) – Mashhad, Iran

  • 1_Uwezo: Zaidi ya waumini 700,000 katika eneo lote
  • 2_Ukubwa: Zaidi ya m² 600,000 (kompleksi nzima)

🔹Msikiti wa Haram ya Imam Reza (a.s) uliopo Mashhad, Iran, ndio msikiti wenye eneo kubwa zaidi duniani, ukiwa na zaidi ya square mita laki sita (600,000) na uwezo wa kuhudumia zaidi ya waumini laki saba (700,000) kwa wakati mmoja katika eneo lote la haram.

Msikiti wa Haram ya Imam Reza (a.s) - Mashhad, Iran, Unashikilia Rekodi ya Dunia kwa kuwa na Eneo Kubwa Zaidi Kuliko Misikiti Yote Duniani

Hiyo ilikuwa ni orodha ya Misikiti 10 Yenye Maeneo Makubwa Zaidi Duniani.

Msikiti wa Haram ya Imam Reza (a.s) - Mashhad, Iran, Unashikilia Rekodi ya Dunia kwa kuwa na Eneo Kubwa Zaidi Kuliko Misikiti Yote Duniani

Tanbihi: Ukubwa unakusudiwa ni Eneo zima la Msikiti - Sio Uwezo wa Idadi ya Waumini wanaingia ndani yake, kwa kutizama uwezo Msikiti wa Kwanza uwezo inakuwa ni Masjid Al-Haram, ndio unaongoza kwa kubeba watu wengi zaidi kuliko Misikiti mingine, kwa Mantiki Masjid Imam Reza a.s inakuwa ya Tatu Duniani kwa kutizama uwezo na Ukubwa wa eneo, lakini inakuwa ya kwanza Duniani kwa kutizama Ukubwa wa eneo tu.

Picha zaidi za Masjid Imam Reza (as):

Msikiti wa Haram ya Imam Reza (a.s) - Mashhad, Iran, Unashikilia Rekodi ya Dunia kwa kuwa na Eneo Kubwa Zaidi Kuliko Misikiti Yote Duniani

Msikiti wa Haram ya Imam Reza (a.s) - Mashhad, Iran, Unashikilia Rekodi ya Dunia kwa kuwa na Eneo Kubwa Zaidi Kuliko Misikiti Yote Duniani

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha