Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Donald Trump alionya katika hotuba yake ya Hali ya Taifa (State of the Union) kwamba Iran “Iran imetengeneza makombora yanayoweza kuitishia Ulaya na kambi zetu za kijeshi zilizoko nje ya nchi, na wanafanya kazi ya kutengeneza makombora ambayo hivi karibuni yataweza kufika hadi Marekani.”

Your Comment