Mkoa
-
Kupitia Upya Historia ya Iran: Kuanzia Zaratustra Hadi Walinzi wa Maqamu Matakatifu
Ebrahim Bahadori: Kuanzishwa kwa Uwezo wa Watazamaji 7,000 kwa Maonyesho ya Uwanjani ni Mabadiliko ya Kiutamaduni kwa Mkoa wa Khorasan Kaskazini: Ebrahim Bahadori ametaja kuwa kuanzishwa kwa nafasi ya watu 7,000 kushiriki katika maonyesho ya wazi ya jukwaani katika mkoa wa Khorasan Kaskazini ni hatua kubwa ya mabadiliko ya kiutamaduni. Amesema pia kuwa: Kongamano la Pili la Kitaifa la Mashahidi 3,000 wa Mkoa, ambalo limeandaliwa kwa ufanisi kwa kuandaa maonyesho ya kienyeji ya uwanjani yaliyoitwa "Ardhi ya Jua (Sarzamin-e Khurshid)", limefungua njia mpya za ukuaji wa kitamaduni katika mkoa huo.
-
Israel imefanya mashambulizi ya anga dhidi ya Sanaa (Mji Mkuu wa Yemen) na Mkoa wa Al-Jawf
Kwa mujibu wa wizara ya afya ya Yemen, mashambulizi ya Israeli yaliyoelekezwa Sanaa na Mkoa wa Al-Jawf yamesababisha watu wasiopungua 35 kuuawa na zaidi ya 130 kujeruhiwa.
-
Hamas Yatuma Salamu za Pole kwa Watu wa Afghanistan Kufuatia Tetemeko la Ardhi
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa salamu za rambirambi kufuatia tetemeko la ardhi lililosababisha vifo katika mkoa wa Kunar, nchini Afghanistan, na kueleza masikitiko yake makubwa kwa maelfu ya raia waliopoteza maisha au kujeruhiwa.
-
Tetemeko la ardhi nchini Afghanistan limeua zaidi ya watu 1,200
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.2 katika kipimo cha Richter liliikumba mkoa wa Kunar mashariki mwa Afghanistan, na hadi sasa limesababisha vifo vya zaidi ya watu 1,200.
-
Magharibi mwa Asia na Mashariki ya Kati | Watu 11 Wauawa na Kujeruhiwa Kutokana na Mlupuko wa Mabomu Yaliyosalia huko Tyre, Lebanon
Watu 11 wa jeshi la Lebanon wameuawa na kujeruhiwa kufuatia mlipuko wa mabomu yaliyosalia kutoka kwenye uvamizi wa awali wa utawala wa Kizayuni kusini mwa Lebanon, tukio ambalo limepelekea viongozi wa juu wa nchi hiyo kutuma salamu za rambirambi.
-
Kuzaliwa kwa mtoto wa Kiajemi (Muiran) wa Arubaini katika Hospitali ya Zainul-Abidina (a.s) Karbala
Mama mjamzito kutoka mkoa wa Yazd, ambaye alihudhuria matembezi ya Arubaini 1446, amejifungua mtoto wake katika Hospitali ya Hadrat Sayyid Zaynul Aabidin (a.s) mjini Karbala.
-
Ushiriki wa Watu wa Khorasan Razavi katika Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s) – 1447H / 2025
Watu wa Khorasan Razavi, hasa kutoka Mashhad, wameonyesha mapenzi na kujitolea kwa kiwango kikubwa kupitia huduma za malazi, chakula, afya, elimu ya kidini, sanaa na hata usafirishaji – wakidhihirisha mshikamano wa kweli wa Waislamu wa madhehebu ya Ahlul-Bayt (a.s) katika harakati ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s).
-
Sheikh Dr. Alhad Musa Salum Akabidhiwa Tuzo ya Uongozi wa Mfano na JMAT Mkoa wa Dar -es- Salaam
Tukio hilo lilifanyika katika Mkutano Mkuu wa Mkoa wa JMAT kwa Muhula wa Kwanza wa Mwaka 2025, ambapo viongozi mbalimbali wa kidini na kijamii walihudhuria.
-
Kukamatwa kwa Mawakala 87 wa Utawala wa Kizayuni katika Mkoa wa Lorestan, Magharibi mwa Iran
Watu hao 87 waliotiwa mbaroni wanatuhumiwa kwa kueneza hofu miongoni mwa raia, kufanya vitendo vya uharibifu, kuwasiliana na mashirika ya kijasusi ya kigeni, na kumiliki vilipuzi.
-
BAKWATA Manyara wafanya Kikao cha Halmashauri Bakwata Mkoa Jumapili
Kikao hiki ni Kikao cha Kawaida cha Kikatiba cha Halmashauri ya Mkoa.
-
"Wadau wa sekta ya utamaduni wa Afghanistan watilia mkazo juu ya ukarabati wa "Gonbad-e-Begum" / 'Kubba ya Malkia' katika Mkoa wa Ghazni"
"Baadhi ya wadau wa sekta ya utamaduni wa Afghanistan wametilia mkazo umuhimu wa ukarabati na urejeshwaji wa jengo la kihistoria la 'Kubba ya Malkia' katika Mkoa wa Ghazni."
-
Ndege nyingine isiyo na rubani ya Marekani imetunguliwa ndani anga la Yemen
Ndege ya kijeshi isiyo na rubani ya Marekani imdunguliwa katika mMkoa wa Marib.