Magaidi thelathini wa kundi la Daesh wameuawa baada ya mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi Marekani Iraq.
Magaidi hao wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za kivita za Marekani katika wilaya ya Musil uliyopo katika mji wa Nainawa kaskazini mwa Iraq.
pia kumeripotiwa kusonga mbele majeshi ya Iraq katika mapambano yake dhidi ya magaidi wa Deash, yanayoendelea katika mji wa Salahuddin kaskazini mwa Iraq, mafanikio ya jeshi la Iraq katika mapambano hayo ni ishara tosha ya uwezo wa kujitegemea jeshi hilo na kutokuwa na haja ya majeshi ya kigeni kuleta wapiganaji wa ardhini katika nchi hiyo.
29 Oktoba 2014 - 18:12
Msimbo wa Habari: 647798
Magaidi thelathini wa kundi la Daesh wameuawa baada ya mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi Marekani Iraq.