20 Septemba 2025 - 00:25
Majlisi ya Kumbukumbu ya Shahada ya Sayyid Hassan Nasrallah Kufanyika Beirut

Katika hafla hiyo: Mzungumzaji mkuu atakuwa Sheikh Muhammad Sadiq.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (AS) -ABNA-linaarifu kuwa Jumatatu, tarehe 22 Septemba 2025, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa kuuawa shahidi kwa Sayyid Hassan Nasrallah, Husseiniyya ya Karbala iliyoko Lebanon – Beirut – Dhahiya itaandaa Majlisi ya Kumbukumbu ya Shahada kuanzia majira ya saa 2:30 usiku.

Katika hafla hiyo: Mzungumzaji mkuu atakuwa Sheikh Muhammad Sadiq.

  • Wasomaji na waimbaji wa majlisi ya maombolezo watakuwa:
  • 1_ Muhammad Hussein Pouyanfar
  • 2_Sayyid Amir Husayni
  • 3_Hussein Khayruddin.

    Majlisi ya Kumbukumbu ya Shahada ya Sayyid Hassan Nasrallah Kufanyika Beirut

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha