Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Hamas amesema kuwa lengo la mwisho la utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi.
Ameongeza kuwa katika hali ambayo adui wa Kizayuni haheshimu hata moja ya ahadi zake, mazungumzo yoyote kuhusu kukabidhi silaha za Hamas ni ya bure kabisa na ni ndoto isiyo na msingi.
Your Comment