19 Juni 2025 - 03:21
Wazayuni wakiwa wamejificha kwenye Mapango chini ya Ardhi wakiogopa Mvua ya Makombora ya Iran

Hii imekuwa ndio Hali yao ya Usiku na Mchana, lazima wakimbie na kushinda sehemu za kujihifadhi kwa sababuuda wote Mvua ya Makombora inanyesha juu yao.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Hii ndio Hali ambayo muovu Netanyahu amewachagulia watu wa Kizayuni katika Ardhi ya Palestina inayokaliwa kimabavu na Utawala wa Kizayuni. Mchana ni Makombora ya Iran juu ya vichwa vyao na Usiku hali ni Ile ile. Hakuna Sehemu yenye Amani kwao zaidi ya kukimbilia kujificha chini ya Ardhi kila dakika.

Mambo yao yote ya kimaisha yamekuwa likizo, na wengi wao wameanza kutoroka na kukimbilia Nje ya Israel.

Hii imekuwa ndio Hali yao ya Usiku na Mchana, lazima wakimbie na kushinda sehemu za kujihifadhi kwa sababuuda wote Mvua ya Makombora inanyesha juu yao.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha