24 Juni 2025 - 22:07
Kamanda wa Iran wa Vikosi vya Jeshi la Ardhini: Usalama kamili upo kwenye mipaka

Kudumisha utayari wa mapigano kwa ajili ya kuhifadhi na kutetea itikadi, watu, dini na nchi ni misheni ya kudumu ya vikosi vya kijeshi vya Iran, na vikosi vya jeshi la ardhini kamwe havipuuzi misheni hii takatifu hata kwa sekunde moja.

Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Brigedia Jenerali Kiomarthi Heidari, akitembelea mipaka mbalimbali ya nchi (Magharibi na Mashariki) amesema:

Kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu, roho, motisha na umakini wa wanajeshi, na ufuatiliaji wa kila saa wa mipaka, usalama kamili umewekwa kwenye mkondo wake mipakani.

Kudumisha utayari wa mapigano kwa ajili ya kuhifadhi na kutetea itikadi, watu, dini na nchi ni misheni ya kudumu ya vikosi vya  kijeshi vya Iran, na vikosi vya jeshi la ardhini kamwe havipuuzi misheni hii takatifu hata kwa sekunde moja.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha