Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Idara ya Utafiti wa Kitaaluma katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa (s.a.w.w), Tawi la Dar es Salaam - Tanzania, imeandaa kongamano la kielimu lenye mada:
“Dakika za Mwisho za Maisha ya Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w)” | Uchambuzi wa Kihistoria wa Matukio na Misimamo.
Mihimili Mikuu ya Mada Hiyo:
1. Matukio kabla ya kufariki Mtume (s.a.w.w) - Tukio la “Raziyatul- Khamisi” (Msiba wa Siku ya Alkhamisi) kama mfano.
2. Wosia wa Mtume Mtukufu (s.a.w.w) – Uchambuzi wa maudhui na misimamo.
Mtoa Mada: Sheikh Taqi Zakariya. Tarehe: Jumamosi, 16-08-2025. Muda: Kuanzia Saa 4:00 Ask Asubuhi hadi 6:00 Mchana. Eneo: Muswalla wa Chuo Kikuu cha Al-Mustafa (s) - Dar-es-salaam. Mwaliko huu ni kwa Wote.
Your Comment