18 Februari 2026 - 21:06
Ayatollah Sistani ametangaza kesho (Alhamisi) kuwa ni Siku ya Kwanza ya Ramadhani

Ali al-Sistani ametangaza kuwa kesho Alhamisi ni siku ya Kwanza ya Ramadhani 1447H.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Kishia nchini Iraq, Sayyid Ali al-Sistani, imetoa tamko rasmi ikitangaza kuwa kesho, Alhamisi, itakuwa siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka 1447 Hijria.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha