23 Juni 2025 - 15:58
Maduro: Ninalaani vikali shambulio la kuchukiza na la aibu la Marekani dhidi ya Iran

Ninatangaza wazi na bayana mshikamano wangu kamili kwa watu imara na mashuhuri wa Iran, serikali yake, na watu wote ulimwenguni wanaopigania uhuru na amani.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Rais wa Venezuela Nicolas Maduro: Shambulio hili lilikuwa kitendo cha jinai ambacho kilikiuka sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa, na hata kupuuza sheria za ndani za Marekani.

Ninatangaza wazi na bayana mshikamano wangu kamili kwa watu imara na mashuhuri wa Iran, serikali yake, na watu wote ulimwenguni wanaopigania uhuru na amani.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha