-
Kiongozi wa Mapinduzi: Ikiwa Amerika itafanya jambo lolote ovu, litajibiwa vikali
Ayatollah Khamenei amesema kuhusu misimamo ya vitisho ya hivi karibuni ya Marekani: Kwanza, iwapo uovu utafanywa kutoka nje, jambo ambalo bila shaka halina uwezekano mkubwa, kwa hakika watajibiwa kwa kupigwa kwa pigo kali , na pili, ikiwa adui anafikiria kuzusha mpasuko (fitna) kwa ndani, kama ilivyokuwa katika baadhi ya miaka ya nyuma, Taifa litatoa jibu kali kwa waasi (wapenzi wa fitna) kama ilivyokuwa kwa miaka hiyo.
-
Baqaei: Marekani ijitayarishe kwa athari za hatua yoyote dhidi ya Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza katika ujumbe wake kwamba, tishio lolote la rais wa nchi la kuishambulia Iran kwa mabomu ni ukiukaji wa wazi na kiini cha amani na usalama wa kimataifa.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Utawala fisadi wa Israel ni ‘kikosi cha niaba tu’ katika eneo, ni lazima ung'olewe
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, kikosi pekee cha niaba katika eneo hili ni utawala wa Kizayuni ambao unavamia nchi nyingine kwa niaba ya madola ya kikoloni ya dunia na ni "lazima ung'olewe."
-
Rais wa Iran atoa mkono wa Idi kwa viongozi na wananchi wa mataifa ya Kiislamu
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za mkono wa Idi na kuwapongeza viongozi na wananchi wa mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuadhimisha na kushereheka Idul-Fitri, siku ya sherehe na furaha kubwa kwa Waislamu.
-
Mamia ya Waislamu wahofiwa kufariki katika tetemeko la ardhi Myanmar
Mamia ya Waislamu wanahofiwa kuwa miongoni mwa watu zaidi ya 1,600 waliopoteza maisha katika tetemeko kubwa la ardhi lililotokea katikati ya Myanmar, wakati walipokuwa wakiswali misikitini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Waziri Mkuu wa Greenland amjibu Trump: Marekani haitakipata kisiwa hiki
Waziri Mkuu wa Greenland amejibu matamshi ya Rais wa Marekani aliyedai kwamba Washington inataka kukidhibiti kisiwa hicho kikubwa cha ncha ya kaskazini ya dunia, na kusisitiza kwamba: "Marekani haitaipata Greenland".
-
Ripoti: Wamarekani wanahamia Mexico kukwepa sera za kibaguzi za Trump
Katika jitihada za kukwepa siasa na sera za Rais Donald Trump wa chama cha Republican, Wamarekani, baadhi yao wakiwa na asili ya Mexico, wanahamia nchi jirani ya Mexico, katika kile kinachoweza kutambuliwa kuwa uhamiaji wa kinyume.
-
Jaribio la kwanza la kurusha roketi anga za juu barani Ulaya lafeli
Roketi la anga ya juu ya Ulaya ilimepuka muda mfupi tu baada ya kuzinduliwa.
-
Televisheni ya Israel: Mashambulio ya Marekani hayana athari yoyote dhidi ya operesheni za Yemen
Televisheni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imekiri kuwa, mashambulizi ya Marekani ya kuzuia operesheni zinazofanywa na Yemen dhidi ya utawala huo wa Kizayuni hazijawa na athari yoyote.
-
Kiongozi mwandamizi wa HAMAS: Muqawama na Silaha zake, kwetu sisi ni mstari mwekundu
Bassem Naim, kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: "kwetu sisi tukiwa ni taifa linalokaliwa kwa mabavu, Muqawama na silaha zake ni mstari mwekundu na ni suala la uwepo wetu na uhai wetu".
-
Jinai za kinyama za Israel za kuwaua Wapalestina hata katika Siku ya Idi zalaaniwa vikali
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendelea kuwaua watu wa Ghaza hata katika wakati huu wa Sikukuu ya Idul-Fitri na kutoonyesha heshima yoyote kwa Sikukuu hiyo.
-
Utawala wa Kizayuni waendelea kupinga utoaji wa misaada kwa Wapalestina
Vitendo vya kikatili vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina wanaoishi Gaza vinaendelea, na bado utawala huo unazuia kufikishwa kwa misaada ya chakula na dawa kwa wakazi wa Gaza.
-
Majeshi ya Iran yaahidi ‘Majibu Makali’ kwa tishio lolote
Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kutoa jibu kali na lenye nguvu dhidi ya tishio lolote, uchokozi, au uvamizi maadui.
-
Rais wa Iran: Mwelekeo wa mazungumzo unategemea mwenendo wa Wamarekani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran haijawahi kukwepa mazungumzo, lakini ni aina ya mwenendo wa Wamarekani ndio unaoamua ikiwa mazungumzo yataendelea au la.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran atoa wito wa umoja katika ujumbe wa Idul Fitr
Katika ujumbe wa pongezi kwa wenzake Waislamu kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr, inayoadhimisha baada ya kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa wito wa kuimarisha zaidi umoja na huruma miongoni mwa mataifa ya Kiislamu.
-
Marekani, Mshirika Asiyeaminika
Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney, ambaye amemrithi Justin Trudeau, amesisitiza kwamba atajibu hatua za Marekani dhidi ya nchi hiyo katika nyanja za kiuchumi na kibiashara, na amekiri kwamba: "Marekani si mshirika wa kuaminika tena."
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Iran inanyoosha mkono wa udugu kwa mataifa yote ya Kiislamu
Mapema leo Jumatatu, katika kikao na viongozi wa serikali, mabalozi wa nchi za Kiislamu na matabaka tofauti ya wananchi wa Iran, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya kislamu, Imam Ali Khamenei amesema kuimarika heshima ya Uislamu na kukabiliana na dhulma na uonevu wa madola makubwa vinategemea umoja na utambuzi wa Umma wa Kiislamu.
-
Habari Pichani | Swala ya Eid -ul-Fitr, Kasuku - Kigoma
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA -: Waumini wa Kiislamu Wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) Kigoma, Kasuku, wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika Ibada (Swala) ya Eid -ul- Fitr iliyoongozwa na Shekh Hussein Moshi Abdallah. Swala hii imeswaliwa katika viwanja vya Masjid Sajjad (a.s) Mkoani Kigoma, Kijiji cha Kasuku, Barabala ya tatu, na ni Masjid inayosimamiwa na kuongoza na Sheikh Hussein Moshi na Sheikh Ridhwan Mjenjwa. Tunawakia Waislamu wote Duniani Eid Mubarak.
-
Habari Pichani | Rais wa Tanzania na Viongozi wa Kadhaa wa Serikali wajumuika na Waislamu Tanzania katika Swala ya Eid -ul- Fitr
Kwa Mujibu wa Ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan amejumuika na Waisalamu wote na Viongozi mbali mbali akiwemo Rais wa awamu ya Nne Mh.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete , Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Nchini, Mh.Mohamed Mchengerwa na wengine, kwa ajili ya kuswali Swala ya Eid -ul- Fitr, katika Msikiti wa Mfalme Mohamed wa VI uliopo Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Kinondoni, Jijini Dar es Salaam Tanzania. Swala hiyo ya Eid al-Fitr imeswaliwa leo tarehe 31 Machi, 2025.
-
Habari Pichani | Swala ya Eid Masjidul Ghadir, Dar-es-salaam - Tanzania
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-; Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania T.I.C, Maulana Sheikh Hemedi Jalala Mwakindenge ameongoza Khutba na Swala ya Eid al-Fitr, ndani ya Masjid Ghadir, Kigogo Post, Dar-es-salaam - Tanzania.
-
Tangazo la Dua ya Khitma:
Dua ya Khitma ya Kumrehemu Marhuma Ukhti Fatima Ali Mwiru
Dua hii na visomo mbalimbali vitaanza rasmi baada ya Swala ya Eid -ul- Fitr.
-
Habari Pichani | Harakati Tukufu za Kidini - Kagera, Tanzania
Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA -: Taasisi ya Kiislamu ya S.D.O (Shiat Development Organization), Bukoba, Tanzania, inafanya kazi maridhawa za kusambaza Elimu na Maarifa ya Ahlul-Bayt (a.s). Taasisi hii inamiliki vituo Vitatu vya Kidini vilivyopo: Bukoba Mjini, Kemondo (Bukoba Vijijini), na Katobago, Wilayat ya Muleba, Mkoa wa Kagera, Tanzania.