22 Juni 2025 - 15:12
Redio ya Israel: "Uharibifu Mkubwa umetokea Tel Aviv, Haifa, na Nes Tsiuna baada ya Kushambuliwa na Makombora ya Iran

Viongozi wa Kizayuni bado hawajatoa takwimu kuhusu vifo vinavyowezekana, lakini vyanzo vya ndani vinaripoti kwamba maeneo hayo yote yanawaka moto na uharibifu mkubwa umejitokeza.

Shirika la Habari la Kimatifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Redio ya Utawala wa Kizayuni imeripoti kwamba: Kufuatia shambulizi la Makombora ya Iran yaliyofyatuliwa leo hii katika maeneo tofauti, madhara na uharibi mkubwa umejiri katika sehemu kadhaa za Tev Aviv Kuu, Haifa, na Mji wa Nes Tsiuna.

Redio ya Israel: "Uharibifu Mkubwa umetokea Tel Aviv, Haifa, na Nes Tsiuna baada ya Kushambuliwa na Makombora ya Iran

Viongozi wa Kizayuni bado hawajatoa takwimu kuhusu vifo vinavyowezekana, lakini vyanzo vya ndani vinaripoti kwamba maeneo hayo yote yanawaka moto na uharibifu mkubwa umejitokeza.

Redio ya Israel: "Uharibifu Mkubwa umetokea Tel Aviv, Haifa, na Nes Tsiuna baada ya Kushambuliwa na Makombora ya Iran

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha