Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Vyombo vya habari vya Kizayuni vimekiri kwamba Iran, kwa mashambulizi yake ya Makombora ya Siku 12 na hususan Makombora ya leo Asubuhi (24-06-2025), sio tu kwamba imepelekea utawala huo kushindwa kimkakati, bali pia "ni kana kwamba Israel imepandisha bendera nyeupe."
Vyombo vya habari vimeongeza kuwa silaha za nyuklia ni hatari, lakini hisia ya ushindi katika mioyo ya maadui ni hatari zaidi.
Vyombo hivyo vya kizayuni vimesisitiza kuwa Oktoba 7, waliona kwa macho yao kwamba hakuna haja ya bomu la nyuklia kuisukuma Israel kuelekea ukingoni.
Your Comment