Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wakati wa Wiki ya Ulinzi wa Mtakatifu (Sacred Defence) na pia kuanzia kwa mwaka mpya wa masomo, Ayatollah Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, atazungumza na wananchi wa Iran na Ulimwengu mzima usiku wa leo.
Hotuba ya Kiongozi itatolewa saa 20:00 jioni kutoka kwenye kituo cha televisheni cha kwanza (au Chanel ya Kwanza), kituo cha habari, Redio Iran, na pia kupitia tovuti za kimtandao KHAMENEI.IR na LEADER.IR.
Masuala ya Kitaifa, Kikanda na Kimataifa ndio baadhi ya mada atazozizungumzia Kiongozi wa Mapinduzi.
Your Comment