Nguvu
-
Hakim: Kimya mbele ya uvamizi wa Israel hakikubaliki
Sayyid Ammar Hakim amesema kuwa ujasiri wa hali ya juu na dharau ya wazi ya utawala wa Kizayuni katika kuvamia nchi za Kiarabu na Kiislamu, na kutenda jinai za kila siku dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, Ukingo wa Magharibi, Syria, Lebanon, Yemen, Iran na Qatar ni jambo ambalo kimya dhidi yake hakikubaliki.
-
Kiongozi wa Mapinduzi Katika Mkutano na wanachama wa Serikali:
"Tuweke roho ya Kazi na Juhudi juu ya hali ya Kutokuwa Vitani wala kuwa na Amani (Hali ya 'si vita, si amani')
Ayatollah Khamenei katika kikao na Rais pamoja na Baraza la Mawaziri alisisitiza juu ya umuhimu wa 'kutawala kwa hali ya kazi, juhudi na matumaini' dhidi ya 'hali ya si vita wala amani'
-
Larijani: Hezbollah Haina Haja ya Msimamizi au Mlezi
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza kuhusu makundi ya upinzani wa ukombozi nchini Lebanon kwamba: Hezbollah na harakati za muqawama zina upeo wa juu wa fikra za kisiasa na hazihitaji mlezi.
-
Wanasayansi wa China Watengeneza Bomu Jipya Lenye Nguvu Bila Mionzi ya Nyuklia
Habari njema ni kuwa, kwa kuwa bomu hili si la nyuklia, halitoi mionzi yoyote hatari ya sumaku au ya miale ya nyuklia. Teknolojia hii mpya inaweza kubadilisha matumizi ya silaha za nguvu zisizo za nyuklia katika siku zijazo.
-
Naibu wa Vyombo vya Habari vya Harakati ya Nujaba ya Iraq katika mahojiano na ABNA:
"Mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran ni siri ya kushindwa kwa Netanyahu huko Gaza"
Dakta Hussein al-Moussawi amesema: Kufeli kwa fedheha kwa sera ya Netanyahu katika kupata ushindi wowote katika vita dhidi ya Ghaza, kushindwa kwake kudhibiti migogoro ya ndani na kujaribu kuukimbia utawala huo nje ya nchi ni sababu nyingine ya shambulio hilo dhidi ya Iran.
-
Nguvu ya Maamuzi Inashinda Haja na Matamanio ya Mwanadamu | Matamanio hukutaka uishi kwa sasa; Maamuzi hukutaka uishi kwa heshima
“Watu wengi wanataka kubadilika katika maisha yao na kuwa na maendeleo mazuri, lakini ni wachache kati yao wanaofanya hivyo, kwa sababu Nguvu ya Maamuzi ndani yao ni ndogo, na ukizingatia Nguvu ya Maamuzi ndio inayobeba matokeo chanya, na si haja pekee.”
-
Katika makala maalum ilijadiliwa:
Ustadi wa Kijeshi wa Waislamu wa Yemen ulivyolazimisha Marekani kufikia makubaliano? Hadithi ya Meli za Vita za Marekani - Ghuba ya Uajemi - yatoweka
Leo, Yemen imethibitisha kwa imani kwamba Marekani imepoteza heshima na hadhi yake, na imeweka mwisho kwa hadithi ya meli za kubeba ndege za kivita za Marekani ambazo zilikuwa zikiziogopesha dunia na nchi washindani wao.
-
Ni ipi maana ya Meditation (Tafakuri - Kutafakari)?. Je, ni Dini au sio Dini? Samahat Sheikh Dr. Abdur-Razak Amiri anafafanua zaidi kuhusu hilo
"Meditation" ni aina fulani ya utaratibu unaofuatwa Duniani kote sasa hivi. Na baadhi ya watu ili waweze kutafuta namna fulani ya kupumzika na kupunguza shinikizo na mifadhaiko yao, ili wajisikie vizuri na kutibu baadhi ya maradhi ya kisaikoloji, huonekana wakifanya kitu hicho kinachoitwa Meditation.
-
Kushindwa kwa Marekani nchini Yemen kumezusha wasiwasi miongoni mwa nchi za Kiarabu. Nini kitatokea ikiwa San'a itakuwa Mamlaka yenye Nguvu Kikanda?
Kwa kuzingatia chaguzi ndogo za Amerika, mashaka yameongezeka miongoni mwa maadui wa Yemen katika nchi za Ghuba ya Uajemi, na hii imefanya kazi ya vyombo vyao vya habari - ambavyo vinaendana kikamilifu na (riwaya) simulizi ya Marekani na Israel - kuwa ngumu; Hadi wanakimbilia kuwatuhumu “Ansarullah” kwa kutumia vita vibaya.