-
Kuwatukana wakubwa wa kidini; Asili, motisha na haiba, shakhsia ya upuuzi ya wadhalilishaji
Kuwatukana viongozi wakubwa wa kidini, daima imekuwa moja ya masuala nyeti na changamoto katika jamii za kidini. Jambo hili sio tu linaumiza hisia za waumini, lakini pia linaonyesha upungufu wa maadili na tabia mbaya ya wadhalilishaji.
-
Imam Khamenei: Kitendo chochote kibaya cha kijeshi cha Marekani na Mawakala wake, kitapata jibu thabiti na la uhakika
Imam Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alikutana na maelfu ya Wanafunzi wa vyuo vikuu, wawakilishi kutoka Jumuiya za Wanafunzi wa Kisiasa, Kijamii na Kiutamaduni na makundi mbalimbali ya Jihadi. Mkutano huo ulifanyika katika Husseiniyyah ya Imamu Khomeini (MA), mnamo Machi 12, 2025.
-
Ripoti ya Picha | Maonyesho ya Quran na Itrat Isfahan
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahl al-Bayt (AS) - Abna - maonyesho ya 20 ya Qu'ran na itraH ya Isfahan yamefanyika ndani ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Wakati wa Mkutano wa Mkuu wa Mtandao wa Wilayat na Ayatollah Arafi, ilitajwa;Mtandao wa Wilayat; ni Hawza ya Mtandaoni yenye upeo wa Kimataifa na mbin
Mkuu wa mitandao ya kimataifa ya Wilayat, Hojjat-ul-Islam Sayyid Jaafar Alavi, akiwa katika mkutano na Ayatollah Arafi, Mkurugenzi wa Seminari (Hawza) nchini (Iran) alielezea shughuli, harakati na vipengele vya Mtandao huu wa Media.
-
Utawala wa Trump wazidisha ukandamizaji dhidi ya wanafunzi wanaoitetea Palestina
Hatua ya serikali ya Marekani ya kumtia mbaroni mwanaharakati anayepinga vita na anayeunga mkono Palestina anayepata elimu nchini humo imezidisha wasiwasi kuhusu kushadidi makabiliano ya kiusalama na watetezi wa Wapalestina na vuguvugu la wanafunzi nchini Marekani.
-
"Mshtuko" wa hali ya hewa waikumba miji mikubwa duniani, imo miji mikuu ya Afrika
Utafiti mpya wa hali ya hewa unaonyesha kuwa mabadiliko ya tabianchi tayari yanaathiri miji mingi mikubwa duniani, na kusababisha mabadiliko ya kushangaza kati ya hali ya hewa ya mvua na ya unyevu na ile ya ukame uliokithiri huku hali ya hewa ikizidi kuwa mbaya.
-
Ripoti: Israel inawaua Wapalestina 3 huko Gaza kila baada ya saa 24
Israel imewaua Wapalestina 150 kwa kutumia ndege zisizo na rubani, wadunguaji au njaa kama silaha tangu ilipofikia makubaliano ya kusimamisha mapigano na Harakati ya Mapambano ya Palestina Hamas Januari 19 mwaka huu.
-
Hamas: Duru mpya ya mazungumzo ya kusitisha mapigano imeanza
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa duru mpya ya mazungumzo ya kusimamisha vita Ukanda wa Gaza, imeanza.
-
Hamas: Oparesheni ya Salfit ni ujumbe wa muqawama katika kujibu chokochoko za adui
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesisitiza katika taarifa kuwa oparesheni ya ufyatuaji risasi iliyotekelezwa jana usiku karibu na eneo la Salfit katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni jibu jipya la watu wao na wanamuqawama huru wa Palestina katika kujibu mashambulizi ya kikatili ya utawala ghasibu wa Israel khususan kaskazini mwa ukingo huo.
-
Yedioth Ahronoth: Kipindi cha fungate ya Trump na Netanyahu kimekwisha
Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeandika katika makala kwamba baraza la mawaziri la utawala huo linaloongozwa na Netanyahu limekuwa chini kabisa ya ajenda ya Marekani.
-
Iran ni kati ya nchi tatu zinazoongoza duniani katika kupandikiza uboho
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa nchi tatu zinazoongoza duniani kwa upandikizaji wa uboho kutokana na maendeleo makubwa katika nyanja za matibabu.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Wito wa Trump wa kufanya mazungumzo na Iran ni 'ulaghai' tu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wito wa Rais Donald Trump wa Marekani kwamba anataka kufanya mazungumzo na Iran si lolote bali ni jaribio la "kuhadaa maoni ya umma duniani" na kutaka kuonyesha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni upande ambao hauko tayari kutoa fursa nyingine kwa diplomasia.
-
Araqchi: Barua ya Trump imepokewa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram mazungumzo aliyofanya jana na Mshauri wa masuala ya kidiplomasia wa Rais wa Imarati na kuandika: 'Nimepokea pia barua kutoka kwa Rais wa Marekani.'
-
Madai dhidi ya Iran ya Mjumbe wa Marekani UN kuhusu miradi ya nyuklia ya Tehran
Katika matamshi yake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mjumbe wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesema: Washington inaendelea kutekeleza kikamilifu sera za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran.
-
Iran: Kumetolewa wazo jipya la kutatua masuala ya nyuklia na IAEA
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa, Tehran inalichunguza wazo jipya la kutatua masuala ya nyuklia ya Iran kati ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Muirani afutwa kazi Marekani kwa kuwa AI imesema anaunga mkono Palestina
Chuo Kikuu cha Yale cha nchini Marekani kimemsimamisha kazi mhadhiri wa Kiirani kwa tuhuma zilizotegemea ripoti ya Akili Mnemba (Artificial Inteligence) ambayo imesema kuwa msomi huyo Muirani analiunga mkono taifa madhlumu la Palesitna hasa kutokana na kukosoa vikali mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israeli wakati wa vita vya Ghaza.
-
Masharti ya Iran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na nchi za Magharibi
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena imekataa mazungumzo yoyote ya kulazimishwa na kusisitiza kuwa haitafanya mazungumzo kwa shinikizo na vitisho.
-
"Jumuiya ya Utamaduni wa Iran" imeundwa nchini Ghana"
Kituo cha Jumuiya ya Utamaduni wa Iran kimeundwa nchini Ghana, sambamba na kuunda mtandao wa kimawasiliano miongoni mwa Wahitimu wa Ghana wa Vyuo Vikuu vya Iran na kutumia uwezo wa ndani katika njia ya kuendeleza uhusiano wa kitamaduni kati ya Tehran na Accra.
-
Ripoti ya Picha | Mkutano wa Ramadhani wa Wanafunzi na Kiongozi wa Mapinduzi
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (AS) - Abna - Kundi la Wanafunzi na Wanaharakati wa Mashirika ya Wanafunzi kote nchini (Iran), jana Alasiri (Jumatano) walikutana na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Khamenei katika siku ya kumi na moja (11) ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Ripoti ya Picha | Mkutano wa Ramadhani wa Wanafunzi na Kiongozi wa Mapinduzi
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (AS) - Abna - Kundi la Wanafunzi na Wanaharakati wa Mashirika ya Wanafunzi kote nchini (Iran), jana Alasiri (Jumatano) walikutana na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Khamenei katika siku ya kumi na moja (11) ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Ripoti ya Picha | Kuanzishwa wa tukio maalum la "Maidah Noor" kwa Wanawake katika madhabahu (Haram) Bibi wa Karama
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (A.S) - Abna - Ibada ya kusoma Quran Tukufu "Maidah Noor" hasa kwa Wanawake wenye umri wa zaidi ya miaka 25, imefanyika pia kwa mwaka huu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kutokana na juhudi za zaidi ya watumishi 40 wa Idara ya Utamaduni ya Masista wa Haram Tukufu ya Bibi Yetu wa Karama, Fatima Maasoumah (S.A) ambapo inafanyika kuanzia saa 0:00 kamili za mchana kila siku moja kwa moja kutoka katika Haram hii Tukufu ya Bibi wa Karama , Hadhrat Maasoumah (S.A).
-
Maandamano dhidi ya Trump na Musk kila siku Washington DC
Mji mkuu wa Marekani, Washington DC, unaendelea kushuhudia maandamano ya karibu kila siku dhidi ya Rais Donald Trump kutokana na hatua zake za kuwaachisha kazi wafanyakazi, kubana matumizi na kusaini maagizo ya kiutendaji ambayo yanakiuka maslahi ya nchi.
-
Duru za Palestina zakanusha madai ya US kwamba HAMAS imekubali kupokonywa silaha
Duru moja ya Palestina yenye taarifa za mazungumzo yaliyofanyika kati ya HAMAS na serikali ya Marekani imekanusha ripoti zinazodai kuwa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina imekubali kupokonywa silaha mkabala wa kutekelezwa usitishaji vita baina yake na utawala wa Kizayuni wa muda mrefu huko Gaza.
-
Yemen yaanza tena kushambulia meli za Israel baada ya kukataa kufungua vivuko vya Ghaza
Yemen imetangaza kuanza tena operesheni za kijeshi za kushambulia meli za Israel katika maeneo muhimu ya baharini karibu na fukwe zake kufuatia kumalizika muda wa mwisho ilioupa utawala wa Kizayuni wa kufungua tena vivuko vya Ukanda wa Ghaza na kuruhusu misaada kuwafikia Wapalestina iliowasababishia hasara kubwa kutokana na mashamblizi yake ya kikatili ya zaidi ya miezi 15.
-
Hamas yasema hatua ya Israel kuzuia misaada kuingia Gaza ni ‘Uhalifu wa Kivita’
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imesema kuwa uamuzi wa utawala haramu wa Israel wa kuzuia kuingia kwa misaada ya kibinadamu na mahitaji ya msingi katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa ni "uhalifu wa kivita."
-
Iran: Hatuchukui maagizo kutoka kwa yeyote kuhusu teknolojia ya nyuklia
Makamu wa Kwanza wa Rais, Mohammad Reza Aref amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko imara katika sera yake huru ya nyuklia na wala haishauriani au kuchukua maagizo kutoka kwa mtu yeyote yule.
-
Umuhimu wa uwepo wa Kikosi cha Wanamaji cha Iran katika mazoezi ya pamoja ya Usalama Baharini kwa mara ya saba
Mazoezi ya pamoja ya Ukanda wa Usalama 2025 (Security Belt-2025), yanafanyika kaskazini mwa Bahari ya Hindi kwa ushiriki wa vikosi vya majini vya Iran, Russia na China.
-
"Luteka ya Mkanda wa Usalama, dhihirisho la uwezo wa Jeshi la Majini la Iran"
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya 'Mkanda wa Usalama 2025' yanadhihirisha ushujaa na uwezo mkubwa wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu katika medani za kimataifa.
-
Pezeshkian: Bora tufe kwa heshima, lakini hatutaishi kwa udhalili
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa vikali mwenendo wa kimaksi wa utawala wa Donald Trump dhidi ya Iran na kueleza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu sio Ukraine, na katu haitafanya mazungumzo na Marekani katika mazingira ya vitisho au kulazimishwa.
-
Jamaatul-Islami yaitahadharisha serikali ya Pakistan isihadaiwe na hila za Trump
Mkuu wa Chama cha Kiislamu cha Jamaat-e-Islami Pakistan (JIP) ameihutubu serikali ya Islamabad akisema: Marekani si yenye kuitakia kheri katu Pakistan na haipasi kuridhia matakwa ya nchi hiyo.