ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterToday News
  • Waislamu Dar es Salaam Waungana Kumuombea Marehemu Bi. Amina Sungura katika Kisomo cha Siku ya 40 +Picha

    Waislamu Dar es Salaam Waungana Kumuombea Marehemu Bi. Amina Sungura katika Kisomo cha Siku ya 40 +Picha

    Kwa ujumla, kisomo cha leo kimetoa taswira ya mshikamano wa kijamii, na kuonyesha namna dini, siasa na jamii zinavyoweza kushirikiana kwa amani na mshikamano katika kuhifadhi maadili na utu wa mwanadamu.

    2025-08-31 21:27
  • Msingi wa Imam Mahdi (AF) Mkoa wa Qom Watangaza Mpango wa Kipekee kwa Maadhimisho ya Kuanza kwa Uimamu wa Imam Mahdi (AF)

    Msingi wa Imam Mahdi (AF) Mkoa wa Qom Watangaza Mpango wa Kipekee kwa Maadhimisho ya Kuanza kwa Uimamu wa Imam Mahdi (AF)

    Hii ni miaka 1187 tangu Imam Mahdi (AF) aingie katika kipindi cha Ghaiba Kubwa. Tukio hili ni fursa ya kuhuisha upendo wetu kwake, na kuonyesha kuwa taifa la Iran, hasa Qom, linasimama imara katika njia ya Imam wa Zama."

    2025-08-31 19:43
  • Ujumbe wa Rambirambi kutoka kwa Ayatullah Dori Najafabadi kwa Watu wa Yemen: "Ushujaa wa Mashahidi Utaimarisha Umoja Dhidi ya Adui wa Kizayuni"

    Ujumbe wa Rambirambi kutoka kwa Ayatullah Dori Najafabadi kwa Watu wa Yemen: "Ushujaa wa Mashahidi Utaimarisha Umoja Dhidi ya Adui wa Kizayuni"

    Ninawapa pole familia za mashahidi hawa wapendwa na wananchi wote wa Yemen. Tunawakumbuka mashahidi wote wa Uislamu: kuanzia mashahidi wa tukio la Fakh, mashahidi wa Palestina, Lebanon, na mashahidi wetu wa Iran kama vile Shahidi Qassem Soleimani na wengine.

    2025-08-31 18:40
  • Ujumbe wa Rambirambi kutoka kwa Ayatullah Akhtari kwa Sayyid Abdul Malik al-Houthi: Shambulio la Israel Nchini Yemen ni Jinai Mpya ya Kivita

    Ujumbe wa Rambirambi kutoka kwa Ayatullah Akhtari kwa Sayyid Abdul Malik al-Houthi: Shambulio la Israel Nchini Yemen ni Jinai Mpya ya Kivita

    "Ninatoa rambirambi zangu za dhati kwa watu wa Yemen mashujaa na kwa uongozi wake jasiri – ukiwemo wewe ndugu yetu mpendwa, Sayyid Abdul Malik – kwa msiba huu mkubwa wa kifo cha Shahidi Ahmad Ghalib al-Rahwi na wenzake waliouawa kwa udhalimu na usaliti wa utawala haramu wa Kizayuni.”

    2025-08-31 18:15
  • Kitabu cha Lugha Tatu Kuhusu Tamasha la Kitaifa la Alama ya Ukarimu Chapishwa Hivi Karibuni

    Kitabu cha Lugha Tatu Kuhusu Tamasha la Kitaifa la Alama ya Ukarimu Chapishwa Hivi Karibuni

    Kwa mujibu wa Sekretarieti ya Kisayansi na Tathmini ya Tamasha, mchakato wa ukusanyaji na uhariri wa juzuu ya kwanza ya kitabu hiki upo katika hatua za mwisho.

    2025-08-31 17:53
  • Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Lalaani Mauaji ya Kinyama ya Wazayuni Dhidi ya Yemen-Laahidi Jibu Kali kutoka kwa Muqawama wa Kiislam

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Lalaani Mauaji ya Kinyama ya Wazayuni Dhidi ya Yemen-Laahidi Jibu Kali kutoka kwa Muqawama wa Kiislam

    "Kinyume na matarajio ya Wazayuni na waungaji mkono wao, jinai hizi hazitaweza kudhoofisha irada ya mapambano ya wananchi wa Yemen, bali damu ya mashahidi hawa watukufu itachochea zaidi hasira na mwamko wa upinzani dhidi ya ukoloni na utawala wa Kizayuni kote katika eneo".

    2025-08-31 17:39
  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ataka Utekelezaji wa Makubaliano ya Kistratejia kati ya Iran na China

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ataka Utekelezaji wa Makubaliano ya Kistratejia kati ya Iran na China

    Ayatollah Khamenei amesisitiza nafasi ya kihistoria na ya kimkakati ya Iran na China katika bara la Asia na duniani, na akasema kuwa: "Iran na China, zikiwa na historia ya ustaarabu wa kale katika pande mbili za Asia, zina uwezo wa kuleta mabadiliko katika medani ya kimataifa na kikanda. Kuweka katika vitendo vipengele vyote vya makubaliano ya kistratejia, kutarahisisha njia hii."

    2025-08-31 16:48
  • Hafla ya 4 ya Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Yaendelea Mubashara Kibaha – Pwani | Sheikh Dr. Alhad Mussa Salum Mgeni Rasmi Katika Hafla Hii

    Hafla ya 4 ya Mashindano ya Kuhifadhi Qur'an Yaendelea Mubashara Kibaha – Pwani | Sheikh Dr. Alhad Mussa Salum Mgeni Rasmi Katika Hafla Hii

    Kauli mbiu ya mashindano haya ni: “Hakika Qur’an ni Muongozo,” ikisisitiza nafasi ya Qur’an katika kuleta maadili, amani, na maendeleo ya kiroho katika jamii.

    2025-08-31 13:36
  • Operesheni za kuzunguka (mbinu za ujanja) kwa mtindo wa Kimarekani; Vita vinavyoitwa amani

    Mwandishi maarufu wa Iraq afichua:

    Operesheni za kuzunguka (mbinu za ujanja) kwa mtindo wa Kimarekani; Vita vinavyoitwa amani

    "Abbas al-Zaydi", Mwanaharakati wa vyombo vya habari kutoka Iraq, ameandika katika makala yake kwamba: Marekani, kwa jina la amani, inaendeleza vita vyake vya hivi karibuni dhidi ya dunia kwa njia kadhaa, ambazo huenda muhimu zaidi kati ya hizo ni kupitia miungano kama NATO, utawala wa Kizayuni wa Israel, na magenge ya kigaidi.

    2025-08-31 13:13
  • Al-Bukhaiti: "Vita imeingia katika awamu mpya na wavamizi watalipa gharama kubwa"

    Al-Bukhaiti: "Vita imeingia katika awamu mpya na wavamizi watalipa gharama kubwa"

    Mwanachama wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ametangaza kuwa shambulio dhidi ya kikao cha Serikali ya Yemen huko Sana'a lilivuka mistari miekundu na kwamba vita imeingia katika awamu mpya.

    2025-08-31 13:03
  • Mapigano makali yaripotiwa Mji wa Ghaza, askari 12 wa Israel waripotiwa kuuawa na kujeruhiwa, wanne watoweka

    Mapigano makali yaripotiwa Mji wa Ghaza, askari 12 wa Israel waripotiwa kuuawa na kujeruhiwa, wanne watoweka

    Chaneli ya i24 ya utawala wa kizayuni wa Israel imeripoti kujiri mapigano makali kwenye viunga vya Mji wa Ghaza kati ya wanamuqawama wa Palestina na askari wa utawala huo ghasibu wakati askari hao wanajaribu kuuteka mji huo kupitia mashambulizi ya anga na mizinga mikubwa.

    2025-08-31 08:48
  • Hamas yaipongeza Uturuki kwa kufunga anga yake kwa ndege za Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza

    Hamas yaipongeza Uturuki kwa kufunga anga yake kwa ndege za Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza uamuzi wa Uturuki wa kufunga anga yake kwa ndege za Israel na kukata mahusiano yote ya kibiashara na Tel Aviv.

    2025-08-31 08:46
  • Yemen yawaonya Wazayuni: Siku za giza zinakuwajihini, hamtaonja tena ladha ya usalama

    Yemen yawaonya Wazayuni: Siku za giza zinakuwajihini, hamtaonja tena ladha ya usalama

    Rais wa Yemen ameuonya utawala wa Israel kuhusu uhakika wa serikali ya Sana'a kulipiza kisasi cha mauaji ya hivi karibuni yaliyofanywa na Tel Aviv dhidi ya waziri mkuu wa taifa hilo la Peninsula ya Kiarabu, pamoja na maafisa wengine wanane.

    2025-08-31 08:45
  • Iran: Ulaya haina mamlaka ya kisheria ya kuanzisha vikwazo upya

    Iran: Ulaya haina mamlaka ya kisheria ya kuanzisha vikwazo upya

    Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, amepinga vikali juhudi za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani (E3) za kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa vilivyofutwa chini ya Azimio 2231 la mwaka 2015, akitaja hatua hiyo kuwa “batili na isiyo na athari.”

    2025-08-31 08:44
  • Sababu za Iran kuitambua hatua ya Troika ya Ulaya ya kutekeleza snapback kuwa kinyume cha sheria

    Sababu za Iran kuitambua hatua ya Troika ya Ulaya ya kutekeleza snapback kuwa kinyume cha sheria

    Kikao cha faragha cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kushughulikia uzinduzi wa mchakato wa kuanzisha utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran (snapback) wa Troika ya Ulaya kilifanyika jana Ijumaa, Agosti 29.

    2025-08-31 08:43
  • Pezeshkian: Iran iko tayari kutumia misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa mafuriko Pakistan

    Pezeshkian: Iran iko tayari kutumia misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa mafuriko Pakistan

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi na kutoa mkono wa pole kwa serikali ya wananchi wa Pakistan kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo na kusababisha vifo vya watu wengi na kuharibiwa mali. Amesema Iran iko tayari kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko nchini Pakistan.

    2025-08-31 08:43
  • Iravani: Iran haitafanya mazungumzo kwa vitisho au kwa kushurutishwa

    Iravani: Iran haitafanya mazungumzo kwa vitisho au kwa kushurutishwa

    Amir-Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, ameitaja hatua ya nchi tatu za Ulaya yaani Ufaransa, Ujerumani na Uingereza ya kuanzisha kuanzisha mchakato wa kuanzisha utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran (snapback) hatua 'isiyo ya kisheria', na kuongeza kuwa hatua hiyo inapuuza Utaratibu wa Utatuzi wa Mizozo (DRM) wa makubaliano9 ya nyuklia ya JCPOA.

    2025-08-31 08:42
  • Iran yawakamata majasusi wa Mossad waliohusika katika vita

    Iran yawakamata majasusi wa Mossad waliohusika katika vita

    Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kimetangaza kukamatwa kwa mtandao wa kigaidi unaohusishwa na shirika la ujasusi la Israel, Mossad, katika mkoa wa Khorasan Razavi. Majasusi hao walihusika katika shughuli za ujasusi na hujuma ndani ya Iran wakati wa mashambulizi ya siku 12 yaliyofanywa na Israel dhidi ya taifa hilo.

    2025-08-31 08:42
  • Larijani: Iran inapinga mabadiliko ya kijiografia katika ukanda wa Kavkazia

    Larijani: Iran inapinga mabadiliko ya kijiografia katika ukanda wa Kavkazia

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani, ameeleza kuwa Tehran inapinga vikali hatua yoyote inayoweza kuathiri muundo wa kisiasa na kijiografia wa eneo la Kavkazi (Caucasus)

    2025-08-31 08:41
  • Pezeshkian:Uhusiano wa Iran na Armenia haupaswi kuvurugwa na dola la kigeni

    Pezeshkian:Uhusiano wa Iran na Armenia haupaswi kuvurugwa na dola la kigeni

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa Iran na Armenia hazipaswi kuruhusu nguvu yoyote ya kigeni kuvuruga uhusiano wao wa kirafiki na wa kimkakati.

    2025-08-31 08:41
  • Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Asilimia 92 ya Watu wa Afghanistan Wanataka Elimu kwa Wasichana Kuendelezwa

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Asilimia 92 ya Watu wa Afghanistan Wanataka Elimu kwa Wasichana Kuendelezwa

    Wakati Serikali ya Taliban inaendeleza sera za kuzuia elimu kwa wasichana, ripoti ya Umoja wa Mataifa inaonyesha wazi kuwa watu wa Afghanistan – wanawake kwa wanaume, wa mjini kwa vijijini – wanataka mabadiliko. Wanataka elimu kwa wasichana, fursa za kazi kwa wanawake, na mustakabali bora kwa jamii nzima.

    2025-08-31 00:59
  • "Baada ya kuondolewa kwa silaha za Hizbullah, hakuna dhamana ya kulinda Lebanon dhidi ya adui msaliti"

    Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Lebanon katika mahojiano na ABNA:

    "Baada ya kuondolewa kwa silaha za Hizbullah, hakuna dhamana ya kulinda Lebanon dhidi ya adui msaliti"

    Adnan Mansour: Je, viongozi rasmi wa Lebanon wanaweza kusimama dhidi ya Marekani na kulinda maslahi ya Lebanon na hatari za kuondolewa kwa silaha? Nani atakayebaki Lebanon kupambana na uvamizi wa Israel? Je, jeshi la Lebanon linaweza kukabiliana na uvamizi peke yake? Kamwe.

    2025-08-31 00:46
  • Kukanushwa kwa Taarifa za Kuuawa kwa Abu Ubaidah / Onyo kutoka kwa Muqawama ya Kiislamu Kuhusu Uvumi

    Kukanushwa kwa Taarifa za Kuuawa kwa Abu Ubaidah / Onyo kutoka kwa Muqawama ya Kiislamu Kuhusu Uvumi

    Muqawama ya Palestina yakanusha uvumi wa kuuawa kwa msemaji wa Brigedi za al-Qassam, Abu Ubaidah.

    2025-08-31 00:27
Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom