-
UN, EU zataka kusitishwa vita Gaza huku Israel ikifanya mashambulizi mapya
Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimetoa wito wa kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza, huku Israel ikianzisha tena vita vya mauaji ya kimbari kwenye ukanda huo.
-
Wanachama wa EU wakubaliana kuongeza nguvu za kijeshi mkabala wa Russia
Waziri Mkuu wa Poland amesema kuwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zimekubaliana hadi kufikia mwaka 2030 kuongeza uwezo wao wa kijeshi ili kuweza kukabiliana na mshambulizi yoyote ya Russia.
-
UN: Vifo vya wahamiaji vilivunja rekodi mwaka jana, karibu 9,000 wamekufa
Takwimu mpya zilizotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) zinaonyesha kuwa, karibu watu 9,000 walikufa mwaka jana wakijaribu kuvuka mipaka.
-
Google kutumia majasusi wa Israel waliohusika na mauaji ya kimbari ya Gaza
Kampuni ya Google mapema wiki hii ililipa dola bilioni 32 ili kununua kampuni ya Israel ya usalama wa mtandao, Wiz, ambayo inaendeshwa na wafanyakazi wa zamani wa Unit 8200, kitengo maalumu cha upelelezi wa mtandao cha jeshi la Israel.
-
Waziri Mkuu wa Canada: Hatimaye Trump ataonyesha heshima kwetu na atataka mazungumzo
Waziri Mkuu wa Kanada Mark Carney amesema mazungumzo mapana ya kibiashara baina ya nchi yake na Marekani hayatafanyika mpaka pale Trump atakapoonyesha heshima kwa uhuru na mamlaka ya kujitawala ya Canada.
-
China yaionya Marekani, yaitaka iache kuingilia ushirikiano wake wa kibiashara na Iran
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameionya Marekani kwa kuitaka iache kuingilia ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya China na Iran.
-
Trump atahadharishwa: Vita na Iran havifanani na utembeaji kwenye 'maonyesho ya mitindo'
Ted Galen Carpenter, mchambuzi mashuhuri wa masuala ya kijeshi wa Marekani amemtahadharisha rais wa nchi hiyo Donald Trump na matokeo hatari ya kuanzisha vita dhidi ya Iran.
-
Mwangwi wa matamshi ya Imam Khamenei katika vyombo vya habari duniani
Matamshi yaliyotolewa jana na Kiongozi Muadhamu wa mapinduzi ya Kislamu, Imam Ali Khamenei katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Hijria Shamsia akijibu vitisho vya Rais wa Marekani, Donald Trump, yameakisiwa kwa mapana na marefu katika vyombo vya habari vya kimataifa.
-
Abu Obeida: Yemen imeonyesha kuwa Gaza haiko peke yake
Msemaji wa tawi la kijeshi la harakati ya Hamas amesema kuwa wananchi wa Yemen wamegharamika pakubwa kwa ajili ya kuihami Gaza, hata hivyo bado wanaendea kuwaunga mkono na kuwatetea watu wa eneo hilo.
-
New York Times: Marekani haitaweza kuishinda Yemen
New York Times limeandika kuwa Marekani haitaweza kutoa pigo kwa Yemen katika mashambulizi yake ya kichokozi dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hamas yatoa wito kwa vyombo vya habari kupinga propaganda chafu za Israel
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa Waarabu na Wapalestina kushiriki katika mapambano ya vyombo vya habari ili kukabiliana na propaganda na vita vya kisaikolojia vya Israel vyenye lengo la kuvunja irada na azma ya watu wa Palestina.
-
'Uwanja wa ndege wa Ben Gurion hautakuwa salama mpaka uchokozi dhidi ya Ghaza utakapokoma'
Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimetangaza kuwa Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel sasa hauko salama kwa usafiri wa anga na utaendelea kuwa hivyo hadi uchokozi wa utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Ghaza utakapokomeshwa na vizuizi vya misaada lilivyoekewa eneo hilo la Palestina vitakapoondolewa.
-
Mkuu wa ujasusi Israel akiri Iran "imejipenyeza kwa kina", amlaumu Netanyahu
Kiongozi wa shirika la ujasusi wa ndani la utawala wa Israeli amesema Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ndiye anayepaswa kulaumiwa kutokana na matatizo makubwa ya utawala huo, ikiwemo usimamizi mbovu uliosababisha kile alichotaja kuwa "upenyaji wa kina" wa Iran kwenye taasisi za kiusalama na kijasusi za Israel.
-
Ayatullah Seddiqi: Uwekezaji kwa ajili ya uzalishaji utastawisha nchi
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ameeleza kuwa, uzalishaji ni mhimili wa ustawi wa maisha ya watu na ni chachu ya maendeleo na ajira na kusema: "Serikali lazima irahisishe njia za kuvutia viitegauchumi na rasilimali za wananchi kwa kutumia wataalamu mahiri."
-
Kofi kali; Jibu la taifa la Iran kwa uhabithi wa Marekani
Akizungumza jana Ijumaa katika kikao na maelfu ya watu wa matabaka tofauti katika siku ya kwanza ya mwaka wa Kiirani wa 1404 Hijria Shamsia, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiogopi vitisho vya Marekani, na kwamba iwapo italisababishia madhara yoyote taifa la Iran, itapata kipigo na kofi kali.
-
Iravani: Tuhuma zisizo na msingi za US zinazidi kudhihirisha sera zake za kiuadui dhidi ya Iran
Amir Saeed Iravani, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran na akasema: "tuhuma hizi zisizo na msingi kwa mara nyingine tena zinazidi kudhihirisha sera za uadui za serikali ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran".
-
Ripoti ya Picha | Marasimu ya kuhuisha Usiku wa 21 wa Ramadhani huko Rasht
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahl al-Bayt (a.s) - Abna - Marasimu ya uhuishaji wa usiku wa 21 wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani zilifanyika kwa kuambatana na hotuba ya Ayatollah Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (a.s) na Mwakilishi wa watu wa Gilan katika Baraza la Wataalamu wa Uongozi katika Msikiti wa Safa wa Rasht.
-
Ripoti ya Picha | Marasimu ya kuhuisha usiku wa 21 wa Ramadhani katika Mji wa Isfahan
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (AS) - Abna - Sambamba na Usiku wa 21 wa Ramadhani, usiku wa kuuawa Shahidi Amir al-Mominin Ali (AS), na usiku wa pili wa Lailatul Qadr, Marasimu ya kuhuisha Usiku huo, na maombolezo na usomaji wa dua ya Jaushen Kabir ilifanyika katika Chuo Kikuu cha Isfahan ikiwajumuisha Wanafunzi wa vyuo mbalimbali.
-
Idadi ya waliokamatwa katika Maandamano dhidi ya Serikali ya Uturuki imeongezeka hadi kufikia watu 343
Kufuatia maandamano ya Uturuki yaliyotokana na kukamatwa kwa Meya wa Istanbul, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki ametangaza kukamatwa kwa watu 343 katika majimbo 9 ya nchi hiyo.
-
Hezbollah: Hatuna uhusiano wowote na shambulio la kombora
Kwa kutoa taarifa rasmi, Hezbollah ya Lebanon imekanusha uhusiano wowote na operesheni hiyo ya makombora leo asubuhi (Jumamosi) dhidi ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kusisitiza kuwa, madai ya adui yanalenga kutoa visingizio vya kuendelea na uvamizi.
-
Watu 2 wameuawa Shahidi na wengine 10 kujeruhiwa kutokana na Mashambulizi ya utawala wa Kizayuni huko Kusini mwa Lebanon
Watu 2 wameuawa Shahidi na watu 10 wamejeruhiwa kutokana na mvutano uliozuka tena Kusini mwa Lebanon na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika eneo la Tolin.
-
Imam Ali (a.s) Katika Kurasa za Historia:
Elimu na Maarifa, Ibada na Ucha Mungu, Ujasiri na Ushujaa, na Upole na Huruma ya Imam Ali (a.s)
Imam Ali (a.s) alipigwa upanga na mtu aliyejulikana kwa jina la Abdur Rahman bin Muljim Muradi (laana iwe juu yake milele). Imam Ali (a.s) alikufa Shahidi siku tatu baadaye katika usiku wa 21 wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Imam Ali bin Abi Talib (a.s) ni shakhsia wa pili mkubwa katika Uislamu baada ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w), na anaelezwa katika historia ya Uislamu kuwa alikuwa jasiri na shujaa wa kupigiwa mfano, mwenye imani thabiti, mwenye akhlaki njema, mwenye elimu na uadilifu usio na kifani.
-
Wasifu wa Amirul Momineen (AS) unapaswa kuunganisha mwili wa Umma wa Kiislamu
Katika hotuba yake kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Imam Ali, Waziri Mkuu wa Iraq alitaja fadhila za Imam Ali (a.s).
-
Ripoti ya Picha | Mkutano wa Gavana wa Qom na Ayatollah Javadi Amoli
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Gavana wa Qom, Akbar Behnamjo, pamoja na kundi la Manaibu Magavana na wasimamizi wakuu wa jimbo hilo, katika hafla ya mwanzo wa mwaka mpya, walihudhuria nyumbani kwa Ayatollah Al-Udhma Javadi Amoli katika Mji wa Qom, na walikutana na kuzungumza na Marjii Taqlid huyu wa Ulimwengu wa Shia.
-
Wapalestina 130 Wameuawa Shahidi Katika Saa 48 Zilizopita
Katika saa 48 zilizopita, Mashahidi 130 na Majeruhi 263 wamehamishiwa katika Hospitali za Ukanda wa Gaza.
-
Ramadhan ni Mwezi ambao dhambi zote zinaunguzwa (zinafutwa) ndani yake
Mja asikose wala asikate tamaa katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani, bali akithirishe kwa wingi kuomba sana maghfira na msamaha kwa Mwenyezi Mungu, kwa hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe, na anasamehe dhambi za aina yoyote ile (ispokuwa dhambi ya kumshirikisha).