shambulio
-
Washukiwa wa shambulio la Paris wauawa
Majeshi ya usalama nchini Ufaransa, Ijumaa yakitumia mabomu na bunduki yalifikisha mwisho siku tatu za ugaidi mjini Paris, wakiwauwa ndugu wawili wenye mahusiano na kundi la al-Qaeda.
-
Maombi maalum yafanyika kwa ajili ya wahanga wa shambulio la kigaidi la Paris
Kengele zimepigwa katika kanisa katoliki la Notre Dame mjini Paris, wakati raia wa Ufaransa walipowakumbuka wahanga wa shambulizi la kigaidi katika ofisi ya jarida la Charlie Hebdo
-
Picha za shambulio la kigaidi la Paris
Watu 12 wameuawa kutokana na shambulio la kigaidi lililofanyika kwenye ofisi za jarida moja mjini Paris Ufaransa. Kwa mujibu wa taarifa, watu wengine zaidi ya 10 walijeruhiwa katika shambulio hilo.
-
Watu 12 wameuawa katika shambulizi la kigaid Paris
Watu 12 wameuawa kutokana na shambulio la kigaidi lililofanyika kwenye ofisi za jarida moja mjini Paris Ufaransa. Kwa mujibu wa taarifa, watu wengine zaidi ya 10 walijeruhiwa katika shambulio hilo.
-
Viongozi mbalimbali wasikitishwa na shambulizi la kigaidi Pakistan + Picha
Ujerumani imesikitishwa sana na kile imekitaja kuwa ni "ukatili mkubwa" shambulizi lililofanywa na Taliban ambalo limewauwa karibu watu 132, wengi wao watoto, katika shule moja inayosimamiwa na jeshi ya mji wa kaskazini mashariki mwa Pakistan, Peshawar.